Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2618535
Watanzania wamesha advance mno kwa siasa kama anazozifanya Tundu lissu, wanashangaa lakini wengi wanamkebei na kuona huyu jamaa anajaribu kutengeneza attention kwa UMMA kizamani kabisa kwa watu wenye maono makubwa mno nadhani kumpita yeye mwenyewe.
Tulieni Dawa iwangie Ndugu walamba Asali.
Tundu Lissu anataka msibebwe, hataki Asali, anataka mpambane .
Hizo Huwa ni Akili za watu wanaojiamin.
Hata Katiba yetu ni ya kizamani na ya kiduanzi mno, mbona hilo hauliongelei?View attachment 2618535
Watanzania wamesha advance mno kwa siasa kama anazozifanya Tundu lissu, wanashangaa lakini wengi wanamkebei na kuona huyu jamaa anajaribu kutengeneza attention kwa UMMA kizamani kabisa kwa watu wenye maono makubwa mno nadhani kumpita yeye mwenyewe.
Hakuna lolote, mtanzania huyu mwelewa wa leo mwenye kutafakari kwa kina HAPELEKESHWI KWA SIASA ZA KIZAMANI ZA KUFUATA MKUMBO.Tulieni Dawa iwangie Ndugu walamba Asali.
Tundu Kipungo anataka msibebwe, hataki Asali, anataka mpambane .
Hizo Huwa ni Akili za watu wanaojiamin.
Huna hoja wewe kapuku , Lissu atawanyoosha safari hii , Wauaji wakubwa nyieView attachment 2618535
Watanzania wamesha advance mno kwa siasa kama anazozifanya Tundu lissu, wanashangaa lakini wengi wanamkebei na kuona huyu jamaa anajaribu kutengeneza attention kwa UMMA kizamani kabisa kwa watu wenye maono makubwa mno nadhani kumpita yeye mwenyewe.
Nature ya watu kama tundu Lissu ni U-lecturer, uongezi, uongeaji Jamii hii haijawahi kuwa watendaji wazuri pale wanapopewa shughuli za umma kwa utekelezaji.Mimi naona TL hapendi na haamini katika njia za ujanja ujanja na kujikomba. Hii sifa wanayo watu wenye akili nyingi, ndo maana wasomi wengi nchi hii huwakuti kwenye siasa maana wanajua haziko transparent na zinaendeshwa na unafiki na mazongezonge mengi.
OK wanakondoo mfuateni huyo!Huna hoja wewe kapuku , Lissu atawanyoosha safari hii , Wauaji wakubwa nyie
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app