Siasa bila pesa, chawa na ndumba hutoboi

Siasa bila pesa, chawa na ndumba hutoboi

Siasa zetu za kibongo bila chawa, ndumba na pesa hutoboi. PhD tupa kule!
acha upotoshaji na kuhamasisha imani potofu, ushirikina na uchawi,

zidisha juhudi katika kufanya kazi kwani mtaji ulio nao ni nguvu zako mwenyewe...

uoga wako ndio umaskini wako..
ushirikina ni utumwa wa kificho unajichelewesha mwenyewe kusonga Mbele 🐒
 
Duniani kote siasa ni nguvu za ushawishi...

Nguvu hizo zinaendana na hulka ya maeneo siasa hiyo inapofanywa....

Nguvu yoyote uijuayo...mitazamo ya hao watu...yoyote uijuayo....

Siasa ina 10D's....

Siasa ina mengi na ndio maana mh.Mbowe alimtaja hayati El Commandante Laigwanan E.N.Lowassa kuwa ni "asset"....

Asset ipi?!!

Watu aliokuwa nao huko CCM...
Nguvu za kiuchumi alizokuwa nazo....

Mh.Mbowe akaibadilisha "gia" angani pale alipokabiliwa na NENO la mshenga *..

Dr.Slaa akawatelekeza UKAWA....Prof.Lipumba akaelekea Kigali kujifundisha kinyarwanda* [emoji1787][emoji1787]
[emoji115][emoji115][emoji115]

Hayo yote ni nini ?!!

Pesa peke yake ?!!

Ndumba peke yake ?!!

Uchawa peke yake ?!!!

Kuna pale ambapo machawa wa M4C waliposikitika "pesa kuondoka" na kulia sana kufikia kujipigiza viwambazani pale mtaa wa Ufipa baada tu ya mh.Lowassa kupokelewa Lumumba huku akinena machache...

-Assalaam alaykum!
-Tumsifu Yesu kristo ,BWANA asifiwe!
-Nimerejea nyumbani msiniulize kwanini [emoji1787][emoji1787]

Hivi Komredi Hemedi Ali bado yuko UFIPA hakurudi CCM ?!!


#Nchi Kwanza chini ya chifu mkuu Hangaya[emoji7]


#Tuendelee kufurahia pumzi ya BWANA [emoji7][emoji7]
 
Siasa zetu za kibongo bila chawa, ndumba na pesa hutoboi. PhD tupa kule!

NB: Antipasi kazi unayo, itakuchukua miaka 10 kununua gari jipya.
Kwahiyo akili yako ndipo ilipoishia unaamini kwamba TL hana uwezo wa kununua gari?

Wanasiasa wataendelea kucheza na akili zetu sana.
 
Kwani TL hana uwezo wa kununua garii jipyaa? Mbna siaminiii.
Lol
 
Back
Top Bottom