Duniani kote siasa ni nguvu za ushawishi...
Nguvu hizo zinaendana na hulka ya maeneo siasa hiyo inapofanywa....
Nguvu yoyote uijuayo...mitazamo ya hao watu...yoyote uijuayo....
Siasa ina 10D's....
Siasa ina mengi na ndio maana mh.Mbowe alimtaja hayati El Commandante Laigwanan E.N.Lowassa kuwa ni "asset"....
Asset ipi?!!
Watu aliokuwa nao huko CCM...
Nguvu za kiuchumi alizokuwa nazo....
Mh.Mbowe akaibadilisha "gia" angani pale alipokabiliwa na NENO la mshenga *..
Dr.Slaa akawatelekeza UKAWA....Prof.Lipumba akaelekea Kigali kujifundisha kinyarwanda* [emoji1787][emoji1787]
[emoji115][emoji115][emoji115]
Hayo yote ni nini ?!!
Pesa peke yake ?!!
Ndumba peke yake ?!!
Uchawa peke yake ?!!!
Kuna pale ambapo machawa wa M4C waliposikitika "pesa kuondoka" na kulia sana kufikia kujipigiza viwambazani pale mtaa wa Ufipa baada tu ya mh.Lowassa kupokelewa Lumumba huku akinena machache...
-Assalaam alaykum!
-Tumsifu Yesu kristo ,BWANA asifiwe!
-Nimerejea nyumbani msiniulize kwanini [emoji1787][emoji1787]
Hivi Komredi Hemedi Ali bado yuko UFIPA hakurudi CCM ?!!
#Nchi Kwanza chini ya chifu mkuu Hangaya[emoji7]
#Tuendelee kufurahia pumzi ya BWANA [emoji7][emoji7]