PreGE2025 Siasa chafu dhidi ya Mwigulu ni woga wa 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
fisadi anaambiwa fisadi unasema siasa chafu?
mtu mshamba wa juzi mwizi sahizi katajirika
atawatuma wengi mje kumtetea huyo mwizi
urais hapati sana sana atanyea debe tu
yani huyu psychopath ndio awe rais wa nchi?
au wewe ndio mwigulu umekuja kujipambania?
 
NIKIKUMBUKA YA KWENDA BURUNDI, hayo yote unayodhania kuwa ni mazuri huwa nayasahau sana.
 


Tatizo la Mwigulu litakuwa kama la Lowassa tamaa za pesa ndiyo zitamwangusha
 
Mwiguru ukiwa Rais, sote wa hali ya chini tutahamia Burundi.
 
Mwigulu apambane kihalali kupata urais na sio kutaka kupita shortcut. Wakati wa mwanzo wa utawala huu Mwigulu alikuwa akifanya mikutano ya hadhara kama vile kampeni za urais. Nahisi system ilimpiga stop kwa sababu hakuendelea na huo upuuzi.
 
Huu uzi nimejikuta naufananisha na lile jina la harrier yenye mataa yanayowaka sana
ila hilo jina nimelisahau.
 
This time is for central zone.
 
This time is for central zone.
 
Hakuna mtu mwenye siasa chafu kama Mwigulu ndani ya nchi hii.
 
Makala ,Uzi umeandikwa very professional, huyu ni Mwigilu mwenyewe katuma mtu, yeye ni Member wa JF hawezi kujitetea ,hivyo katuma mtu aje kumjenga.🤣🤣🤔
 
Ku Kumbe hata mawaziri wamo humu!!!!😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…