Sio Gwajima tu bali wanasiasa wote wanatuona sisi kama mbumbumbu flani hivi ndio maana wanatudanganya kila msimu wa uchaguzi ukifika na hatuchoki kuwachagua tena na tena. Tusimlaumu Gwajiboy tujilaumu sisi wenyewe ambao ni wapiga kura tunaodangaywa kwa mambo yale yale ya chama kile kile na sisi tunawachagua wadanganyifu wale wale