Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania ni wajinga Sana embu fikiria na mwakani atakuja na ngonjera kama hizo na bado watamchaguaSisi wakaazi wa Kawe hadi leo hatumuelewi mbunge wetu.
Hatumuelewi kwa maana yeye ni mchungaji yaani ni mtumishi wa Mungu.
Alituahidi
1.Kutununulia boti za uvuvi tukimchagua.
2.Alituahidi kutununulia Grader la kuchongea barabara zetu sisi wenyewe kama jimbo la kawe.
3.Alituahidi kutununulia matipa ya kusombea kifusi kwa ajili ya kutengenezea barabara zetu wana Kawe.
4.Alituahidi kutununulia treni wana Kawe kwa fedha zake za kutoka mfukoni mwake.
Leo hii yote ni hewa tupu na yeye anajiita kuwa ni mtumishi wa Mungu.
Inakuwaje mtumishi wa Mungu unakuwa muongo kiasi hiki ?
Hivi kuna haja ya huyu mtu kuendelea kujiita MCHUNGAJI?View attachment 2861655
Muulize MunguOK sawa, sasa vipi sisi waumini tunao muamini kama ni Mchungaji?
Je tuendelee kumuamini huyu mtu muongo ?
Jasiri haachi asiliSisi wakaazi wa Kawe hadi leo hatumuelewi mbunge wetu.