Pre GE2025 Siasa ilimfanya Mchungaji Gwajima kuwa muongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa hivi kawashika Wamama, Bajaj na Bodaboda. Eti anapromoti Mchezo wa Rede na Bajaj na Bodaboda walishajipatia Maokoto ya Leseni na BIMA. Mzee wa Amfifiro Dawa ya Sabuni, Corona Chanjo ni Utapeli, Mkono WA Baunsa, Mafuriko ya Halima Mdee Basi haya atayaondoa. Ni Muongo Hadi Mbingu zinashuhudia.
 
Sisi wakaazi wa Kawe hadi leo hatumuelewi mbunge wetu.

Hatumuelewi kwa maana yeye ni mchungaji yaani ni mtumishi wa Mungu.

Alituahidi
1.Kutununulia boti za uvuvi tukimchagua.

2.Alituahidi kutununulia Grader la kuchongea barabara zetu sisi wenyewe kama jimbo la kawe.

3.Alituahidi kutununulia matipa ya kusombea kifusi kwa ajili ya kutengenezea barabara zetu wana Kawe.

4.Alituahidi kutununulia treni wana Kawe kwa fedha zake za kutoka mfukoni mwake.

Leo hii yote ni hewa tupu na yeye anajiita kuwa ni mtumishi wa Mungu.

Inakuwaje mtumishi wa Mungu unakuwa muongo kiasi hiki ?
Hivi kuna haja ya huyu mtu kuendelea kujiita MCHUNGAJI?View attachment 2861655
Mlihaidiwa kufundisha kuvua deep sea na kufanyiwa mabadilishano ya wakazi WA kawe kwenda US na WA US kuja kawe😀😀
 
Sisi wakaazi wa Kawe hadi leo hatumuelewi mbunge wetu.

Hatumuelewi kwa maana yeye ni mchungaji yaani ni mtumishi wa Mungu.

Alituahidi
1.Kutununulia boti za uvuvi tukimchagua.

2.Alituahidi kutununulia Grader la kuchongea barabara zetu sisi wenyewe kama jimbo la kawe.

3.Alituahidi kutununulia matipa ya kusombea kifusi kwa ajili ya kutengenezea barabara zetu wana Kawe.

4.Alituahidi kutununulia treni wana Kawe kwa fedha zake za kutoka mfukoni mwake.

Leo hii yote ni hewa tupu na yeye anajiita kuwa ni mtumishi wa Mungu.

Inakuwaje mtumishi wa Mungu unakuwa muongo kiasi hiki ?
Hivi kuna haja ya huyu mtu kuendelea kujiita MCHUNGAJI?View attachment 2861655

hajafunzwa uongo na siasa.. kawaongopea waumini wake sana tu kabla
Ya siasa .. mara kafufua watu mara sijui nn..

Unatakiwa kusema kuwa kahamia kwenye kofia inayomtosha
 
Ushauri mzuri sana
 
Sasa hivi kawashika Wamama, Bajaj na Bodaboda. Eti anapromoti Mchezo wa Rede na Bajaj na Bodaboda walishajipatia Maokoto ya Leseni na BIMA. Mzee wa Amfifiro Dawa ya Sabuni, Corona Chanjo ni Utapeli, Mkono WA Baunsa, Mafuriko ya Halima Mdee Basi haya atayaondoa. Ni Muongo Hadi Mbingu zinashuhudia.
Tapeli wa kisiasa
 
Sisi wakaazi wa Kawe hadi leo hatumuelewi mbunge wetu.

Hatumuelewi kwa maana yeye ni mchungaji yaani ni mtumishi wa Mungu.

Alituahidi
1.Kutununulia boti za uvuvi tukimchagua.

2.Alituahidi kutununulia Grader la kuchongea barabara zetu sisi wenyewe kama jimbo la kawe.

3.Alituahidi kutununulia matipa ya kusombea kifusi kwa ajili ya kutengenezea barabara zetu wana Kawe.

4.Alituahidi kutununulia treni wana Kawe kwa fedha zake za kutoka mfukoni mwake.

Leo hii yote ni hewa tupu na yeye anajiita kuwa ni mtumishi wa Mungu.

Inakuwaje mtumishi wa Mungu unakuwa muongo kiasi hiki ?
Hivi kuna haja ya huyu mtu kuendelea kujiita MCHUNGAJI?View attachment 2861655
Kile chuo cha uvuvi alisema atajenga, kimeshakamilika?
 
Yaani kwa barabara mbovu zisizo na mitaro za jimbo la kawe arudi tu aombe msamaha. Vinginevyo tutapata mbunge wa upinzani maana tumezoea.
 
Yule muongo kichizi ....sema kawe wanaishi misukule huwezi vitu km hivyo halafu wanapiga makofi
Jimbo la kawe ni kubwa na lina watu makini sema jamaa alikimbia na masanduku limejaa kura zilizopigwa kama zote akaingiza vituoni.
 
Kama unadhani kuna mtumishi wa Mungu hapo basi uko nje ya mitandao ya habari. Huyu ni tapeli tu hana lolote
 
Na ushahidi umeuweka maana hawachelewi kugeuka hawa !!!!!!!! Mchungaji halafu unakua muongo daaah hatari sana!!!!
 
Back
Top Bottom