Pre GE2025 Siasa ilimfanya Mchungaji Gwajima kuwa muongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizo ahadi kazitoa huko kwa waongo wenzake, siyo kanisani.
Kwani wewe hujui wanasiasa ni waongo Hadi leo?
 
Kwani ameshamaliza awamu yake ya ubunge mpaka umuite muongo ?.....subiri ubunge ufike kikomo ndio udai utekelezaji wa ahadi zake.
 
Wala usisingizie siasa mkuu. Huyu si ndio

1. Alidanganya kufufua watu?

2. Alidanganya mkono wa baunsa?

Vyote hivyo alivifanya kabla hajaingia kwenye siasa.

Mtu muongo ni muongo tu. Huyu kwanza sio muongo pekee ni mzandiki na snichi
Alisema yeye kuwa Mbunge au waziri ni kujidhalilisha!!
 
Kwani ameshamaliza awamu yake ya ubunge mpaka umuite muongo ?.....subiri ubunge ufike kikomo ndio udai utekelezaji wa ahadi zake.
Wacha kujitoa ufahamu ndugu yangu.
Kashindwa kutimiza ahadi miaka minne itakuwa mwaka mmoja uliobakia?
 
Mimi nabaki kwenye title yako, wala sitaki kusoma content, je, wakati anafufua misukule alikuwa mkweli?
 
Alisema yeye kuwa Mbunge au waziri ni kujidhalilisha!!
Sasa leo hii ndiyo anazidi kujidgalilisha kabisa maana ameshindwa kutimiza ahadi alizo zitoa kwa wananchi wa jimbo la kawe
 
Alinifanya nihamie Kawe ili nipelekwe Birmingham..Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…