😂😂😂🤣🤣🤣Siku ya kumzika Magu alikuwa kajikausha Kama Hafufuagi watu vile😂
Mlihaidiwa kufundisha kuvua deep sea na kufanyiwa mabadilishano ya wakazi WA kawe kwenda US na WA US kuja kawe😀😀Sisi wakaazi wa Kawe hadi leo hatumuelewi mbunge wetu.
Hatumuelewi kwa maana yeye ni mchungaji yaani ni mtumishi wa Mungu.
Alituahidi
1.Kutununulia boti za uvuvi tukimchagua.
2.Alituahidi kutununulia Grader la kuchongea barabara zetu sisi wenyewe kama jimbo la kawe.
3.Alituahidi kutununulia matipa ya kusombea kifusi kwa ajili ya kutengenezea barabara zetu wana Kawe.
4.Alituahidi kutununulia treni wana Kawe kwa fedha zake za kutoka mfukoni mwake.
Leo hii yote ni hewa tupu na yeye anajiita kuwa ni mtumishi wa Mungu.
Inakuwaje mtumishi wa Mungu unakuwa muongo kiasi hiki ?
Hivi kuna haja ya huyu mtu kuendelea kujiita MCHUNGAJI?View attachment 2861655
Sisi wakaazi wa Kawe hadi leo hatumuelewi mbunge wetu.

Tapeli wa kisiasaSasa hivi kawashika Wamama, Bajaj na Bodaboda. Eti anapromoti Mchezo wa Rede na Bajaj na Bodaboda walishajipatia Maokoto ya Leseni na BIMA. Mzee wa Amfifiro Dawa ya Sabuni, Corona Chanjo ni Utapeli, Mkono WA Baunsa, Mafuriko ya Halima Mdee Basi haya atayaondoa. Ni Muongo Hadi Mbingu zinashuhudia.
Kile chuo cha uvuvi alisema atajenga, kimeshakamilika?Sisi wakaazi wa Kawe hadi leo hatumuelewi mbunge wetu.
Hatumuelewi kwa maana yeye ni mchungaji yaani ni mtumishi wa Mungu.
Alituahidi
1.Kutununulia boti za uvuvi tukimchagua.
2.Alituahidi kutununulia Grader la kuchongea barabara zetu sisi wenyewe kama jimbo la kawe.
3.Alituahidi kutununulia matipa ya kusombea kifusi kwa ajili ya kutengenezea barabara zetu wana Kawe.
4.Alituahidi kutununulia treni wana Kawe kwa fedha zake za kutoka mfukoni mwake.
Leo hii yote ni hewa tupu na yeye anajiita kuwa ni mtumishi wa Mungu.
Inakuwaje mtumishi wa Mungu unakuwa muongo kiasi hiki ?
Hivi kuna haja ya huyu mtu kuendelea kujiita MCHUNGAJI?View attachment 2861655
Yaani kwa barabara mbovu zisizo na mitaro za jimbo la kawe arudi tu aombe msamaha. Vinginevyo tutapata mbunge wa upinzani maana tumezoea.Sisi wakaazi wa Kawe hadi leo hatumuelewi mbunge wetu.
Hatumuelewi kwa maana yeye ni mchungaji yaani ni mtumishi wa Mungu.
Alituahidi
1.Kutununulia boti za uvuvi tukimchagua.
2.Alituahidi kutununulia Grader la kuchongea barabara zetu sisi wenyewe kama jimbo la kawe.
3.Alituahidi kutununulia matipa ya kusombea kifusi kwa ajili ya kutengenezea barabara zetu wana Kawe.
4.Alituahidi kutununulia treni wana Kawe kwa fedha zake za kutoka mfukoni mwake.
Leo hii yote ni hewa tupu na yeye anajiita kuwa ni mtumishi wa Mungu.
Inakuwaje mtumishi wa Mungu unakuwa muongo kiasi hiki ?
Hivi kuna haja ya huyu mtu kuendelea kujiita MCHUNGAJI?View attachment 2861655
Huo si ujasusi ni uongo. Kila neno atalitolea hesabuJasusi la mbinguni
Jimbo la kawe ni kubwa na lina watu makini sema jamaa alikimbia na masanduku limejaa kura zilizopigwa kama zote akaingiza vituoni.Yule muongo kichizi ....sema kawe wanaishi misukule huwezi vitu km hivyo halafu wanapiga makofi