Pre GE2025 Siasa ilimfanya Mchungaji Gwajima kuwa muongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukitafuta Sana makosa ya watu, hata ya YESU utayapata tu. MBONA WAKIFANYA NJE YA WALIYOAHIDI AMUWASIFII
 
Watanzania ni wajinga Sana embu fikiria na mwakani atakuja na ngonjera kama hizo na bado watamchagua

CCM ni laana katika taifa hili.
 
Jasiri haachi asili

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…