Siasa ilivyoathiri ubongo wa vijana wa nchi yangu

Siasa ilivyoathiri ubongo wa vijana wa nchi yangu

Joined
Sep 22, 2019
Posts
94
Reaction score
130
Ni hivi tangu suala la siasa growth basi hata vijana tumepata athari ndani ya ubongo wetu leo, hii baadhi ya vijana na ni wimbi kubwa wa nchini kwetu hatuwezi kukaa na kufikiria au kuchukua hatua juu ya ''mutakabali'' wa maisha yetu hususani kwenye kufanya maendeleo tulichokiweka mbele ni siasa.

Mfano: utakuta kijana uwezo wa kufanya jambo na likamuinua anao ila utamsikia, akiamba wimbo serikali,haijafanya hk serikali haijafanya kile serikali hivi na hivi yaan tunaangalia zaidi mambo hasi kuliko kutumia jitihada binafsi, swali kwako kijana vuta picha umezaliwa katika nchi ambayo haina kitu ipoipo tu je ungefanyaje ili kutimiza unachokitaka?

Mimi nazan ufike muda vijana wa kitanzania tubadilike tuache kwanza mambo ya kisiasa tusimame sisi kama sisi leo hiyi nyerere angekuwa na akili kama hy ya vijana wa kizaz hiki sizani kama angewaondoa wakoloni

Mtoto: baba nikiwa mkubwa nataka niwe rubani
Baba: tufanye ndege hazijagunduliwa ungechukua hatua gani?

Ushaur wangu hil swal ligeuze kila unapotaka kufanya jambo.
 
Mfundishe mwanao kwanza amjue Mungu tu hata akikua hata sahau hiyo njia. Atakuwa msikivu,mnyenyekevu na mwenye maadili mema kwake na jamii kwa ujumla.

Akianza kukua sasa mfundishe pia biashara inayoweza kukuwa na kuendelea miaka na miaka mfano upandaji miti, mazao ya muda mrefu (minazi, mikorosho & michikichi) na kilimo cha ngano hautajuta kama mzazi na mwanao atajiona bingwa miaka hiyo ijayo.

Karibu.
 
Back
Top Bottom