Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
Ushawahi kujiuliza wanasiasa mfano mawaziri wana utajiri kiasi gani? Je unajiuliza kwanini matajiri wakubwa duniani wanaingia kwenye siasa? Siyo nchi za kiafrika tu, hata Ulaya?Fuatana nami nikupe uhondo!
Hivi majuzi Rais wa Kenya William Ruto aliteua majina ya mawaziri wateule, hii ni baada ya kuvunja baraza la mawaziri kufuatia maandamano ya GEN Z mwezi uliopita.
Katika utaratibu wa kawaida, wateule hufanyiwa usaili, ambapo pamoja na mambo mengine walihojiwa juu ya utajiri wao!
Angalia hapa
1. Dr Andrew Muhuia Ksh 214 Milioni, hii ni zaidi ya bilioni 4.28 za kitanzania
2. Aden Duale Ksh 980 Milioni zaidi ya shilingi Bilioni 19.6 za Kitanzania
3. John Mbadi Ksh 380 Milioni zaidi ya Shilingi za kitanzania 7.6 Bilioni
5. Davis Chirchir Ksh 509 Milioni zaidi ya Shilingi za kitanzania 10.14 Bilioni
6. Joho Ksh 2.5 billion, hii ni zaidi ya Bilioni 50 za kitanzania
Ukiangalia baraza hilo la mawaziri mwenye pesa kidogo kuliko wote anaitwa Eric Muga utajiri wa Ksh 31 Million zaidi ya Shilingi za kitanzania Milioni 620.
Hii inakupa picha gani? Je tuanzishe utaratibu huu hapa Tanzania kuhojii mali za viongozi ?
MWANAO MTAFUTIE KADI YA VYAMA VYA SIASA 😀😀KUNA PESA NDEFU!