Siasa: Kama hii katuni ya chatu na mbwa imechorwa na Masood Kipanya basi anapaswa kupewa tuzo ya kutuchanganya

Na umejaribu kwelikweli lakini unastahili 5% ya alama zote..

Pole zako
 
View attachment 2544444

1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Mbona umeanzia katikati kumbuka hili ni bonge la movie kuendea 2025, na ndio Kwanzaa limeanza baada ya matangazo mareefu yaani mpaka sasa stelingi bado mtoto tulia usiwe na pupa

Tegemea Mbwa kutafuna tumbo la Chatu ili kuweza kutoa kichwa nje ... hapo sasa ndipo utakapo jua kuwa hujui ...

 
..katuni inaonyesha " WIN-WIN " situation.๐Ÿคฃ

..Mbwa ameshinda, na Chatu ameshinda.
๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏโ˜‘๏ธโ˜‘๏ธโœ”๏ธโœ”๏ธโœ”๏ธโœ”๏ธโœ”๏ธโœ”๏ธโœ”๏ธโœ”๏ธโœ”๏ธโœ”๏ธ
 
View attachment 2544444

1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Sa Inamaana chatu hawez tena kwenda kwa tumbo lake inabid alieko ndan ndo atembee while haoni anapokwenda!! ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Huyu mbwa anadhani anamuendesha chatu, na hajui Kama haoni. Na chatu ameshamjua, na kamfungia kabisa kwa kusokota mkia wake. So hamna tumaini la uhakika kwa huyo mbwa
 
Haa has haa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Kumbe movie ilianzia huku, siyo..???

PICHA No. 1: Jiwe/Mwendazake John P. Magufuli (chatu wa kijani = CCM) anajaribu kuwameza wavaa kombati za khaki (CHADEMA). Jamaa wakafanikiwa kusepesha kichwa. Chatu ana - miss target..

PICHA No. 2: Chatu wa kijani akafanikiwa kummeza mbwa - wavaa kombati za khaki. Akafikiri ameshaua. Chatu kama kawaida yake akalala ili chakula kimeng'enywe na kuoza Kisha aendelee na safari yake. Cha ajabu hiyo haikutokea..!!

PICHA No. 3: All of sudden, mbwa badala ya kufa na kuoza ndani ya tumbo la chatu, anapata uhai. Anapasua tumbo la chatu. Anaanza kutoka taratibu ndani ya tumbo la chatu. Kinaanza kama kamguu hivi kutoka, Kisha miguu yote minne. Mbwa anasimama na kumbeba chatu huku ameshapadua tumbo la chatu.

Next step ni mbwa kutoa kichwa, macho na masikio. All the way to resurrection, mbwa kageuka kuwa teso kuu kwa Chatu. Chatu katumbua macho. Bila shaka kuna maajabu ya mbwa kuua Chatu yanakuja!!

Wote twajua kuwa, kiumbe chochote kikifumuliwa tumbo nje ya utaratibu wa kitabibu na kidaktari, basi hakuna maisha tena kwa kiumbe hicho!!

Kwa heri chatu wa kijani - CCM. Hogereni CHADEMA. Mmewaweza machatu. Sasa wanajiita machawa...

Akili kumukichwa bhagosha...!! Let's wait the next move
 
Perfect
 
Kulingana na picha hapo juu,

Maridhiano ni FAKE. Kila Mmoja na njia yake.

Rais anaongelea mabadiliko ya Katiba iliyopo, CDM wanadai KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.

Tusubiri.
Ile ya Warioba ni ngumu kurudishwa maana muda ushapita sana
 
Ile ya Warioba ni ngumu kurudishwa maana muda ushapita sana
Tume ikiteuliwa, wajumbe wanaweza pendekeza ikarudishwa ikatumika kama base wakati wakikusanya maoni mapya.
 
View attachment 2544444

1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Pamoja na nguvu zako zote dhidi ya adui yako, usipoangalia vyema pale unapomuwekea mtego wa hovyo huku ukiamini kuwa umemnaliza, utajikuta umejimaliza wewe mwenyewe. Hakuna ujanja zaidi ya kujikuta umelegea huku macho yako yakiwa yanarembuka kama femi.
 
Alisikika mlevi mmoja akisema hayo nimawazo ya wahafidhina
 
Shida watu wanachonganisha uadui urudi watu wauawe,wafil
Isiwe na kupotezwa. Never never again. Siasa zimebadilika wahafidhina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ