johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu nani anatumia akaunt yako hii kwa sasa?Kuna baadhi ya vyama vya siasa vinatumia janga hili la Corona kutukumbusha kuwa na wao wapo baada ya kuwa wamesahaulika kwa miaka 5.
Kwa sasa Corona inazungumzwa zaidi na wanasiasa kuliko wataalamu hali inayofanya hata mapokeo yake kwa baadhi ya watu kuwa na mrengo wa kisiasa.
Hii haina afya kwa ustawi wa taifa kwa sababu katika majanga tunapaswa kuwa wamoja.
Niwakumbushe tu waumini wa Chadema, ACT wazalendo, Nccr na hata CCM kuwa Corona ni janga siyo siasa kwa hiyo tuwape nafasi wataalamu watuongoze katika hii vita.
Kiu yenu ya kuongea " chochote" mtaikata mwezi October wakati wa uchaguzi panapo majaaliwa.
Ramadan kareem.
Maendeleo hayana vyama!
Shida ni incompetency ya magufuli,for that case anataka ligi kwa kila kitu ili aonekana anaweza,but because of his incompetency anaishia kutuingiza Chaka Kama taifa,refer makinikia na koroshoKuna baadhi ya vyama vya siasa vinatumia janga hili la Corona kutukumbusha kuwa na wao wapo baada ya kuwa wamesahaulika kwa miaka 5.
Kwa sasa Corona inazungumzwa zaidi na wanasiasa kuliko wataalamu hali inayofanya hata mapokeo yake kwa baadhi ya watu kuwa na mrengo wa kisiasa.
Hii haina afya kwa ustawi wa taifa kwa sababu katika majanga tunapaswa kuwa wamoja.
Niwakumbushe tu waumini wa Chadema, ACT wazalendo, Nccr na hata CCM kuwa Corona ni janga siyo siasa kwa hiyo tuwape nafasi wataalamu watuongoze katika hii vita.
Kiu yenu ya kuongea " chochote" mtaikata mwezi October wakati wa uchaguzi panapo majaaliwa.
Ramadan kareem.
Maendeleo hayana vyama!
Kweli JK alikuwa dhaifu,huyu tuliyenae si dhaifu tu bali rais wa hovyo kuwahi kutokea,mbaya zaidi uwezo wake wa kuelewa Mambo uko below average.Yeye anadhani udhaifu wa JK ulikuwa kwenye nguvu za mwili ndo maana una ona sasa risasi za Moto zipo nje nje,alidhani pia mabadiliko waliyoyataka watanzania ni kuwarundisha watz kwenye mfumo wa chama kimoja kwa nguvu,I am so sorry for himMuulize Jk pamoja na kuwaita kunywa juice ikulu lakini aliishia kuitwa majina ya kila aina.
Ilifikia hatua wakawa wanamsifia Kagame kwenye ishu ya Congo. Hawa ndio wanasiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rubbish!Kuna baadhi ya vyama vya siasa vinatumia janga hili la Corona kutukumbusha kuwa na wao wapo baada ya kuwa wamesahaulika kwa miaka 5.