Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena ?
Hakuna watu masikini kama wafuasi wa Gwajima; na bado li ligwajima linawakamua sadaka kila Jumapili.

Huko Birmingham Marekani sijui Japan sijui utopolo wa Boat za uvuvi , sijui treni na chuo cha uvuvi angeanza na waumini wake.

Gwajima Tapeli huyo hata kanisa ameshindwa kujenga huku anatembelea Hammer kwa sadaka za waumini wake.
 
Back
Top Bottom