Waminepo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2019
- 374
- 254
Mimi hapa 😊Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hapa 😊Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena ?
Kondoo anajilia kimasihara,hafai yuleJamaa ni muongo sana ,halafu ndio mchunga kondoo.
Wewe utaenda mbinguniCCM wenzangu, mm mnisamehe, Gwajima hapana, hapana, hapana mara 3, kabisa.. Wrong choice kabisa[emoji34]
Aonyeshe hizo treniHivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena ?
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena ?
Baada ya uchaguzi kupita kuna watu mtakimbia I'd zenu. Gwajima anachukua jimbo
Kuwa specific comrade unazungumzia treni ipi. Hufahamu kuwa duniani kuna treni nyingi sana.TRENI IPO WAPI?
Kuna wakati alidai atamfufua Amina Chifupa.Kanisa lake lilikuwa linaitwa kanisa la misukule. Wengine waliamini kwamba kama umefiwa na unaamini kwamba marehemu alilogwa, basi Gwajima atamrudisha. Wengi walinaswa kwenye mtego huo.
Sorry hao waumini wao sio wananchi ??.Hapo alikuwa anaongea na waumini wake na sio wananchi, hiyo treni aliyokua anazungumzia ni ya kwenda mbiguni na sio ya kubeba wananchi, kwa hiyo waumini wake walimuelewa😁😁😁
Mimi hapa [emoji4]
Mkuu kama unayo nitumie[emoji1787][emoji1787]KasieHuyu babu kuna video yake anahubiri kula ubwabwa [emoji1787]
Anasema watu wanaumwa wanataka kulaaa wafuasi wanamuitikia ubwabwaa
Watoto wa shule kama hawa wanapenda kulaaaa, wafuasi wanamuitikia ubwaabwaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huo ni msamiati wa kiroho , kuna treni ya kwenda mbinguni kuna ndege pia na nagari ya kuwapeleka huko mbinguni.Sorry hao waumini wao sio wananchi ??.
Huyu mzee ana maana kubwa sana ukitumia akili za kuzaliwa.Huyu babu kuna video yake anahubiri kula ubwabwa [emoji1787]
Anasema watu wanaumwa wanataka kulaaa wafuasi wanamuitikia ubwabwaa
Watoto wa shule kama hawa wanapenda kulaaaa, wafuasi wanamuitikia ubwaabwaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtatumia nguvu sana kumchafua lakini sauti ya zege ndio mwisho wa ubunge wake.Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877