Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

Treni aliyosema kanunua iko wapi ?
Uweledi ni kumfuata Gwajima na kumuuliza yeye binafsi

Ili kama ni muongo tujue, maana atajikanyaga mwenyewe, na kama kuna changamoto zilizomfanya asitekeleze alichoahidi atasema.
 
Yaani mwendazake alishindwa kabisa kumwelewa huyu mtu mpaka akampa Ubunge. Tanzania tuna safari ndefu ya kufikia maendeleo. Kama mpaka sasa hivi hawa waongo hivi ndio wabunge wetu basi mbele ni giza totoro. Hii nchi haitakaa iendelee mpaka tupate mapinduzi ya kweli ya watu wenye kuona mbali. Haiwezekani mtu kama huyu aendelee kuwa bungeni ni aibu.
 
Mwendazake alipenda sana Wasukuma wanafiki, ili afiche UHUTU wake.
 
Kanisa lake lilikuwa linaitwa kanisa la misukule. Wengine waliamini kwamba kama umefiwa na unaamini kwamba marehemu alilogwa, basi Gwajima atamrudisha. Wengi walinaswa kwenye mtego huo.
Ilisemwa waacheni "wafu wawazike wafu wao!!!" Ikiwa ndivyo kuna wafu hai ambao ni heri wangelikufa mwili bali wao wamekufa "uwezo wa kufikiri na kutambua" imani bila matendo...., manabii wa uongo na waota ndoto watawapoteza wengi... huku wakiamini kuwa wanamwabudu Mungu!!!
 
Ndio tatizo la utapeli kupitia dini.

Ila binafsi Gwajima kwenye siasa kanishangaza, pengine ndio ulikuwa wito wake wa asili.

Gwajima ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja and his visionary too; hayo ndio ‘maajabu ya Mussa’ kwa upande wangu.
Hakuna tapeli mwenye uwezo mdogo. Tapeli hata ukimpa Real Madrid anafundisha tu na utashangaa.
 
GWAJIMA MWAMBA SANA NAMKUBALI 100%

2897534_PicsArt_08-24-08.01.01.jpg
Wajinga lazima wakubaliane
 
Back
Top Bottom