Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

Ndio maana mtu akiokoka tu kwa kupitia hawa jamaa akikata tamaa anakata jumla yaani mtamuokota mtaroni kafa kwa ulevi wa sigara kubwa na pombe kali!!?
 
Haka ka jamaa kanaweza kuwa ni katapeli - kanawaibia watu wa mgongo wa jina la Yesu Kristo, maana Kristo mwenyewe alinena kabisa tujihadhali sana na manabii wa uongo maana wengi watakuja kwenu kwa kutumia jina langu, wataponya na hata kuhamisha milima....

Mt 24:4-28
 
Hii clip mbona chamtoto, mmoja aweke ile Super X mzee mzima akivunja amri ya 6 na mtoto Pic Kali.
 
Wanikumbusha masalia wa JNIA
Ati "juzi" ndio eti wanasema kuna manabii wa uongo wanaotoza pesa "kufufua wafu wasiofufuka!!" Pamwe na waumini kuiona "kweli" kuwa "mfufuzi" hakufufua mfu kama alivyojinadi... bado wanaamini aweza tenda miujiza!!!
Ni kurogwa au ni laana?
 
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877

Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
Ogopa mtu anayejiita nabii, yuko tayari kudanganya chochote kile kama ameweza kumtania Mungu hashindwi kufanya lolote kwa sababu ya pesa.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Ndio tatizo la utapeli kupitia dini.

Ila binafsi Gwajima kwenye siasa kanishangaza, pengine ndio ulikuwa wito wake wa asili.

Gwajima ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja and his visionary too; hayo ndio ‘maajabu ya Mussa’ kwa upande wangu.
 
Ukipitia wanaojaribu kumchafua Gwajima ni wale wale wapuuzi wa kule juu

Misukule ya msoga.
 
Treni aliyosema kanunua iko wapi ?
Na Kanisa la kukaa watu laki mbili ndiyo hili? Chidi tapeli sana
IMG_20201103_153332.jpg
 
Back
Top Bottom