Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

Umekimbilia kujibu hoja nyepesi ili uonekane una akili kubwa..!
Kazi ya gwajima ni kubwabwaja bila fact.
Huyo sauti ya zege tumeshamchoka hivyo hoja zozote kumhusu Gwajima haziwezi kuwa na ushawishi wowote.

Gwajima anao udhaifu mwingi tu but he is a lesser devil compared to Mdee.
 
Huyo sauti ya zege tumeshamchoka hivyo hoja zozote kumhusu Gwajima haziwezi kuwa na ushawishi wowote.

Gwajima anao udhaifu mwingi tu but he is a lesser devil compared to Mdee.
Wafuasi wa Gwajima mmeahidi kutoa mnaouita 'uchafu' wa Halima hadharani..lakini siku zinayoyoma bado mnabwabwaja hata huo uchafu hatuuoni.

Kubalini tu mmeingia Cha 'kike' kumrudisha huyo
 
Hivi haya huonekana tu mtu akihama upinzani? Nyie ndio mliokuwa watetezi wake wakuu hata ilipotoka ile video mlimtetea. Wakati anaropoka mnayopenda mlisema hakuna Askofu kama yeye.

Upinzani bana, alafu akianza kufumua mabomu yenu ( anawajua vizuri sana) msianze kulialia. Mchokozeni tu
Mbona hayo 'mabomu' hatuyaoni toka aanze kurukaruka madhabahuni
 
Amesoma PHD ya mambo ya kawaida
Ana shahada ya mambo ya kawaida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
NDIOOOO MB WENUUUUU
PIGENIIII KELELEEEEEEEEE MADODOFYOOO MTAMKUTA DODOOMAAAA
 
Train ina kuja kuzinduliwa bila kuwepo njia (reli)
Kweli waumini wake wali muelewe angesema kabisa na huko mbinguni itafika lini!

Unanikumbusha kuna Mkenya mmoja alituchekesha siku moja anasema walipokuwa msituni walivua samaki wengi sana.

Jamaa mmoja akamuuliza, jee ! mlivua nyoka ??😛😛
 
Douglas siku zote ondoa ujinga kwanza ndipo uongee mbele za watu.

Birmingham ipo Uingereza na ipo Marekani pia. Kumbuka kuwa wamarekani wazungu asili yao ni ulaya Uingereza ikiwemo.

Ipo miji Marekani yenye majina ya miji ya Ulaya kwa sababu asili ya watu ni ile ile.

Ni sawa na Ngara kuna bugarama na Kahama pia kuna bugarama,chimbuko la watu katika maeneo hayo unaweza kukuta ni moja na maana ya majina ya maeneo inakuwa ni ile ile.

Jitahidi utafute maarifa ili usinaswe katika mtego mbovu kama huu wa Birmingham[emoji23][emoji23].
Ok, mjibie basi na hiyo ya kununua treni wakati hajajenga reli.
 
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
IMG_20200914_162310.jpg
 
Kwa maneno anayo ongea kwenye kampeni.. nimeamini ile video ni ya kwake
 
Alikua anakodi vijana huko bagamoyo waje wajifanye misukule.
Kanisa lake lilikuwa linaitwa kanisa la misukule. Wengine waliamini kwamba kama umefiwa na unaamini kwamba marehemu alilogwa, basi Gwajima atamrudisha. Wengi walinaswa kwenye mtego huo.
 
Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Huko nyuma nikiamini Gwaji ni mtu timamu upstairs lakini kwa haya yanayoanza kujitokeza, anakichoongea na anavyokiongea huyu bwana hayuko sawa na kama yuko sawasawa basi ana ajenda ya siri ya kukidharirisha chama chake ccm na viongozi wake sio bure! "Bi Kidude" wetu atamtenda kazi kwenye debe la kura!
 
Back
Top Bottom