nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Uweledi ni kumfuata Gwajima na kumuuliza yeye binafsiTreni aliyosema kanunua iko wapi ?
umeona hiyo video ?Uweledi ni kumfuata Gwajima na kumuuliza yeye binafsi
Ili kama ni muongo tujue, maana atajikanyaga mwenyewe, na kama kuna changamoto zilizomfanya asitekeleze alichoahidi atasema.
Akijiita "mshenga" nyumbu wakashangilia kwa nguvu....! Upinzani wa nchi hii tumelithi kutoka sayari gani sijuhi!Binadamu tumeshasahau huyu alikuwa shujaa wa CHADEMA kwenye wimbi la Lowasa........
Mwendazake alipenda sana Wasukuma wanafiki, ili afiche UHUTU wake.Yaani mwendazake alishindwa kabisa kumwelewa huyu mtu mpaka akampa Ubunge. Tanzania tuna safari ndefu ya kufikia maendeleo. Kama mpaka sasa hivi hawa waongo hivi ndio wabunge wetu basi mbele ni giza totoro. Hii nchi haitakaa iendelee mpaka tupate mapinduzi ya kweli ya watu wenye kuona mbali. Haiwezekani mtu kama huyu aendelee kuwa bungeni ni aibu.
Nyingine hii hapa
View attachment 1580518
Sasa ulishaona kondoo wakawa na akili na kwanini hujiulizi mbona wachungaji hawachungi mbuziJamaa ni muongo sana, halafu ndio mchunga kondoo.
Ilisemwa waacheni "wafu wawazike wafu wao!!!" Ikiwa ndivyo kuna wafu hai ambao ni heri wangelikufa mwili bali wao wamekufa "uwezo wa kufikiri na kutambua" imani bila matendo...., manabii wa uongo na waota ndoto watawapoteza wengi... huku wakiamini kuwa wanamwabudu Mungu!!!Kanisa lake lilikuwa linaitwa kanisa la misukule. Wengine waliamini kwamba kama umefiwa na unaamini kwamba marehemu alilogwa, basi Gwajima atamrudisha. Wengi walinaswa kwenye mtego huo.
Yawezekana utakatishaji... kuna wakati ilisemwa yu miongoni mwa wadau wa kuchuuza kete!! Sijui iliishaje drama ile!!!Ilipatikana kutoka chanzo gani cha mapato?
Mzee wa bapa a.k.a mzee wa upakuaji kondoo baada ya kumuacha mkeweNani tapeli kama Gwajima.
Hakuna tapeli mwenye uwezo mdogo. Tapeli hata ukimpa Real Madrid anafundisha tu na utashangaa.Ndio tatizo la utapeli kupitia dini.
Ila binafsi Gwajima kwenye siasa kanishangaza, pengine ndio ulikuwa wito wake wa asili.
Gwajima ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja and his visionary too; hayo ndio ‘maajabu ya Mussa’ kwa upande wangu.
Wajinga lazima wakubalianeGWAJIMA MWAMBA SANA NAMKUBALI 100%
Sukuwahi kumwaini Gwajima hata siku moja; na nitabaki na imani hiyo kuwa huyu ni tapeli kwa maisha yangu yote. Poleni wale waliomwanini.Hivi kuna mtu mwenye akili kamili anaweza kumuamini huyu mtu tena?
View attachment 1568877
Askofu Gwajima wakati akiwa anawadokeza waumini wa kanisa lake kuwa amefanikiwa kununua treni kwa Cash
Eclat Mkuu....Nyerere na Elimu saplayi bado hawajamaliza Ujinga...Nani tapeli kama Gwajima.
True Mkuu ujinga bado mhurumie huyu yuko kwenye mfumo wa wajinga kama yule ZULUMATI WA NSSF..Wajinga lazima wakubaliane