Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa!

Hata jana kwenye mechi ya Liverpool vs. Everton walirusha peperushi la kuiachia Gaza salama.
 
Mungu awabariki waliofanya hivyo
 
We dingi TFA ni taasisi gani kwenye mpira wa Tanzania? Kama hata huijui TFF, sheria za FIFA utakuwa unazijua kweli?
 
Hivi wewe umebadilika lini.
Mbona zamani enzi za Mwl. Nyerere alipo vunja uhusiano na Israel juu ya suala la Palestine ulikuwa kimya.
Wacha unafiki umekwishwa kuwa mtu nzima sasa.
 
Wew naye asee hatar San ushaanza kuingiza hisia zakidini zijui nimlokole wew.... maana walokole kilakituakikifanya muislam mnakimbilia dini wew uliwah kuonawapi azam wakifanya udini mbna sisi wa RC hatuko hvyo.......umesahau kua AZAM ndio wamebadr mfumo wa soka labongo kitu ambacho hat TFF inalijua sasa wew unawezaje kuongea maneno yauchochez kwamiemko yako kama haujasoma....... kuhus swala lakufikisha ujumbe me sion kama nitatizo tu.ekua tukishuhudia Mara kwa mara hata EPL hayo mambo yanatokea na super sport inafanya kaz acheni kujidharau nakua watumw kifikra Sheria Sheria ....nisheria namba ngap naniyamwaka gan unasema hivyo apo CAF tuambien kwa evidence msituletee sinario Tu kama sio wasomi
 
Weka hilo Bango tulione acha maneno meeeeengi kama chiriku
Wangepost la kuisuport Ukraine usingeandika haya ila ni kwa kuwa wameweka usichokipenda. Asilimia kubwa ya watanzania ni madicteta wasiokuwa na madaraka ingawa wanawalaumu watawala kwamba ni madicteta. Kila siku yanabebwa mabango ya Mwamvua idrissa Kibedwa mko kimya,mara Mwamedi aseme Mwamvua hoyee mko kimya leo kwa kuwa limeguswa taifa la hovyo na katili ndo unaona Azam wanakosea. Kimsingi Azam walitakiwa kupongezwa kwa kuheshimu uhuru wa maoni
 
Wewe ni mjinga.

Kila kitu kina mahali pake na taratibu zako. Sheria za soka haziruhusu soka kutumika kwenye mambo yasiyohusiana na soka.

Waandamane huko barabarani, siyo kwenye soka.
Mbona laliga wanaweka mpaka bendera ya Ukraine [emoji1255]
 
AZAM ni wadini sana, nshasema AZAM hawana ETHICS za habari. Matangazo yao yapo kidini zaidi na sijajua kwanini Wasirivoke leseni yao ya matangazo kutoka kuwa chombo cha habari cha kijamii SECULAR na kuwa cha kidini non SECULAR.
Unaamini vita ya Israel na Palestina ni vita ya kidini? Ile ni vita ya kugombania ardhi kama ilivyo kwa Masai wa Ngorongoro na mawakala wa serikali hiyo ya dini ni njia ya kuwapumbaza wapumbavu na kwakweli wamefanikiwa kuwapata wapumbavu wengi.
 
Kama nahisi liliandikwa hivi from river to the sea we will stand with palestina
 
Unaongelea FIFA hii iliyo mzuia Urusi na kumruhusu Israel!?? Wote ni mafwala na wewe pia ....
 
Nenda kasome sheria za soka za FIFA na CAF ndio utanielewa.
Milengo ya kisiasa kwenye soka huwa hairuhusiwi.
Kila mtu ana hisia zake, sasa kila mtu akaruhusiwa kuweka hisia zake uwanjani hali itakuwaje?
Ila kuvaa bendera za Ukraine Kwa macaptain ilikuwa sawa .....fwallaaaaaa
 
Binadamu bwana jambo lile alilifanya mzungu wakati Ukraine wanapigwa wanavamiwa lilionekana sawa ila leo kwakuwa wamefanya warabu imekuwa ugaidi.
Hawajibu hili swali limeulizwa mara ya ngapi sijui wanapita tu kama hawalioni hapo ndio natambuaga waafrika sisi tu wabinafsi sana Wachache sana wanaweza kutofautisha unafiki, utu/ubinadamu na dini. Wanafiki ni wengi sana ndio maana hatuendelei .....
 

Kama Watanzania wenyewe ni sampuli yako ya ‘biashala’ basi wafanyabiashara hawana haja ya kuogopa
 
AZAM ni wadini sana, nshasema AZAM hawana ETHICS za habari. Matangazo yao yapo kidini zaidi na sijajua kwanini Wasirivoke leseni yao ya matangazo kutoka kuwa chombo cha habari cha kijamii SECULAR na kuwa cha kidini non SECULAR.
Kwa wale wanaofatilia Azam utagundua udini wanautumia sana.
Wasiposimamia Sheria za Fifa wanaweza kufungiwa.Wasichanganye mambo ya dini na soka watashindwa.
Hata ukifatilia ajira zao wanajikita Kwa wale wanaoendana na Imani Yao.Hii sio sahihi
 
Uliona hao wakitolewa shinikizo kutoka mamlakani
Wew nae huna akili,
Kwa hio udini wa Azam ni kumchukua Feisal au ni Mamlaka kuingilia kati sakata la Feisal ?

Usitumie kichwa kama mfuniko
 
asante sana kwa kuweka hii picha maana kuna watu wa ajabu sana watu wameweka hisia zao kuna watu wanakufa watoto, wazee na wanawake jitu linakuja na ujinga wake. Sasa hapa hii picha mbona ni mpira na watu wameweka na picha imepigwa au kwa kuwa ni wazungu na ni Putin kazungumziwa? Hebu tuache kujikita kwenye ujinga ujinga. Haya azam shida yake nini hapo? Hata angeweka saa nzima kwani bango ni la kwake eti afungiwe kwani alichopiga picha ni nje ya uwanja au ndani ya uwanja . Asante mdau umeweka picha hii ushahidi tosha kuwa hata wao wazungu mbona wanaweka cha ajabu ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…