Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Ukishakuwa Empty Set kwenye Siasa utaishia kuchezea wenzako faulu, alafu Bora ziwe technical faulu ili tuone unaakili, Nop! Wewe utavuruga tuu wenzako kama kichaa. Utabutua butua wee! Mwishowe utachokwa utapewa Red card.
Nakushauri kama unajijua bichwa lako ni Akili Kisheti empty Set ni Bora uachane na Siasa usije ukadhuru Watoto wa wenzako Kwa Akili mbili zako.
Mchezo wa Siasa unakanuni nyingi, kuna Kanuni ya mchezo wa Draft, ujue Kete ipi na wapi pakuiweka.
Michezo yote hiyo inahitaji Akili.
Siasa zikishajaa mabumunda hapo ukae chonjo, kutenguliwa miguu ni dakika mbili Mbele, alafu hakuna anayejali wala nini.
Siasa za akili, Mpira unawekwa uwanjani kipenga kinapulizwa, haya kila mtu aonyeshe uwezo wake wa kujenga hoja,
Ni kama vile gombania demu, Lete Swaga tamu uopoe mtoto mkali.
Lakini ukiwa Empty Set, Kwa vile huna Akili na uwezo mdogo, unaziba watu midomo alafu ati unaongea wewe pekee alafu unauifanya unajua kutongoza, unajua kutongoza ungeziba wenzako midomo?
Kama unajiamini na unauhakika huyo Demu anakupenda achia wenzako space wajiachie tuone.
Empty set, Moshi wa Jet,
Oooh! Nimesahau tupo Kwarezma!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam