Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule jamaa sijui alikuaje kwakweli...
Yani alikuwa shida tupuu.
The word is "foul" ukitoaa kwa lugha ya kizaramo unasema "Faulo" instead of "Faulu".Ubishi WA nini? Au ndio Hilo neno faulu au faulo?
Why mnatumia nguvu rasilimali na muda mwingi kujishindanisha na mmarehem?
Kwema Wakuu!
Ukishakuwa Empty Set kwenye Siasa utaishia kuchezea wenzako faulu, alafu Bora ziwe technical faulu ili tuone unaakili, Nop! Wewe utavuruga tuu wenzako kama kichaa. Utabutua butua wee! Mwishowe utachokwa utapewa Red card.
Nakushauri kama unajijua bichwa lako ni Akili Kisheti empty Set ni Bora uachane na Siasa usije ukadhuru Watoto wa wenzako Kwa Akili mbili zako.
Mchezo wa Siasa unakanuni nyingi, kuna Kanuni ya mchezo wa Draft, ujue Kete ipi na wapi pakuiweka.
Michezo yote hiyo inahitaji Akili.
Siasa zikishajaa mabumunda hapo ukae chonjo, kutenguliwa miguu ni dakika mbili Mbele, alafu hakuna anayejali wala nini.
Siasa za akili, Mpira unawekwa uwanjani kipenga kinapulizwa, haya kila mtu aonyeshe uwezo wake wa kujenga hoja,
Ni kama vile gombania demu, Lete Swaga tamu uopoe mtoto mkali.
Lakini ukiwa Empty Set, Kwa vile huna Akili na uwezo mdogo, unaziba watu midomo alafu ati unaongea wewe pekee alafu unauifanya unajua kutongoza, unajua kutongoza ungeziba wenzako midomo?
Kama unajiamini na unauhakika huyo Demu anakupenda achia wenzako space wajiachie tuone.
Empty set, Moshi wa Jet,
Oooh! Nimesahau tupo Kwarezma!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
"History is more than the path left by the past. It influences the present and can shape the future"Kwema Wakuu!

Tulisema, zaidi ya kujenga mabarabara hamna anachokijua. Mkapa was a best president
Kikawaida nguvu zinaeleweka haraka kuliko Akili.
Ndio maana sio kila MTU anaijua hesabu Kwa sababu hesabu zinahitaji Akili.
Watu wanaotumia Akili hawaeleweki kirahisi kuliko wale wanaotumia nguvu
Ila ukitumia nguvu kila MTU atakuelewa Kwa muda mfupi
The word is "foul" ukitoaa kwa lugha ya kizaramo unasema "Faulo" instead of "Faulu".
Robert Robert Robert, nimekuita mara tatu...! Tafadhali san hili jukwaa halihitaji unafiki wa kusemana kifasihi! Tafadhali san kua muwazi nani umemmaanisha? Ila sawa ngoja tuone comments zitaleta majibu nan anazungumziwa hasa watakaotoa povu na matusi tu, basi jibu litakua limepatikana!!Kwema Wakuu!
Ukishakuwa Empty Set kwenye Siasa utaishia kuchezea wenzako faulu, alafu Bora ziwe technical faulu ili tuone unaakili, Nop! Wewe utavuruga tuu wenzako kama kichaa. Utabutua butua wee! Mwishowe utachokwa utapewa Red card.
Nakushauri kama unajijua bichwa lako ni Akili Kisheti empty Set ni Bora uachane na Siasa usije ukadhuru Watoto wa wenzako Kwa Akili mbili zako.
Mchezo wa Siasa unakanuni nyingi, kuna Kanuni ya mchezo wa Draft, ujue Kete ipi na wapi pakuiweka.
Michezo yote hiyo inahitaji Akili.
Siasa zikishajaa mabumunda hapo ukae chonjo, kutenguliwa miguu ni dakika mbili Mbele, alafu hakuna anayejali wala nini.
Siasa za akili, Mpira unawekwa uwanjani kipenga kinapulizwa, haya kila mtu aonyeshe uwezo wake wa kujenga hoja,
Ni kama vile gombania demu, Lete Swaga tamu uopoe mtoto mkali.
Lakini ukiwa Empty Set, Kwa vile huna Akili na uwezo mdogo, unaziba watu midomo alafu ati unaongea wewe pekee alafu unauifanya unajua kutongoza, unajua kutongoza ungeziba wenzako midomo?
Kama unajiamini na unauhakika huyo Demu anakupenda achia wenzako space wajiachie tuone.
Empty set, Moshi wa Jet,
Oooh! Nimesahau tupo Kwarezma!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Robert Robert Robert, nimekuita mara tatu...! Tafadhali san hili jukwaa halihitaji unafiki wa kusemana kifasihi! Tafadhali san kua muwazi nani umemmaanisha? Ila sawa ngoja tuone comments zitaleta majibu nan anazungumziwa hasa watakaotoa povu na matusi tu, basi jibu litakua limepatikana!!
Kama unachangamsha genge sawa.Kwema Wakuu!
Ukishakuwa Empty Set kwenye Siasa utaishia kuchezea wenzako faulu, alafu Bora ziwe technical faulu ili tuone unaakili, Nop! Wewe utavuruga tuu wenzako kama kichaa. Utabutua butua wee! Mwishowe utachokwa utapewa Red card.
Nakushauri kama unajijua bichwa lako ni Akili Kisheti empty Set ni Bora uachane na Siasa usije ukadhuru Watoto wa wenzako Kwa Akili mbili zako.
Mchezo wa Siasa unakanuni nyingi, kuna Kanuni ya mchezo wa Draft, ujue Kete ipi na wapi pakuiweka.
Michezo yote hiyo inahitaji Akili.
Siasa zikishajaa mabumunda hapo ukae chonjo, kutenguliwa miguu ni dakika mbili Mbele, alafu hakuna anayejali wala nini.
Siasa za akili, Mpira unawekwa uwanjani kipenga kinapulizwa, haya kila mtu aonyeshe uwezo wake wa kujenga hoja,
Ni kama vile gombania demu, Lete Swaga tamu uopoe mtoto mkali.
Lakini ukiwa Empty Set, Kwa vile huna Akili na uwezo mdogo, unaziba watu midomo alafu ati unaongea wewe pekee alafu unauifanya unajua kutongoza, unajua kutongoza ungeziba wenzako midomo?
Kama unajiamini na unauhakika huyo Demu anakupenda achia wenzako space wajiachie tuone.
Empty set, Moshi wa Jet,
Oooh! Nimesahau tupo Kwarezma!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Kama akili ni kuhonga na kuhongwa basi tuna safari ndefu sana kama Taifa.
Ila hiyo haishangazi maana watanzania asili yetu ni kuyapa kipaumbele mambo ya hovyo.

Kama unachangamsha genge sawa.
Ila huko ulaya wameuana sana mpaka kuwamaliza wajinga kama we we.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Mmeahamia kwa MKAPA sasa baada ya mama kugoma kuhusu katiba na kuwaondoa bungeni cov19?Tulisema, zaidi ya kujenga mabarabara hamna anachokijua. Mkapa was a best president