Siasa ni akili, kama kichwa chako ni kitupu utaishia kuua wenzako tu

Why mnatumia nguvu rasilimali na muda mwingi kujishindanisha na mmarehemu?
 
CC: Makomeo, Elitwege, Lizaboni, Mayala pasko
 
"History is more than the path left by the past. It influences the present and can shape the future"

Kwa vyovyote vile hoja yako inaturudisha nyuma mpaka katika utawala wa Mzee Baba. Kila tunapojaribu kumsahau, ni lazima tu linaibuka jambo jipya ambalo linaturudisha katika sehemu fulani yenye kumbukumbu ya utawala wake.
 
Kikawaida nguvu zinaeleweka haraka kuliko Akili.
Ndio maana sio kila MTU anaijua hesabu Kwa sababu hesabu zinahitaji Akili.
Watu wanaotumia Akili hawaeleweki kirahisi kuliko wale wanaotumia nguvu
Ila ukitumia nguvu kila MTU atakuelewa Kwa muda mfupi

Hiyo Senene ya Uvccm haiwezi kukuelewa
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Robert Robert Robert, nimekuita mara tatu...! Tafadhali san hili jukwaa halihitaji unafiki wa kusemana kifasihi! Tafadhali san kua muwazi nani umemmaanisha? Ila sawa ngoja tuone comments zitaleta majibu nan anazungumziwa hasa watakaotoa povu na matusi tu, basi jibu litakua limepatikana!!
 
Kama akili ni kuhonga na kuhongwa basi tuna safari ndefu sana kama Taifa.

Ila hiyo haishangazi maana watanzania asili yetu ni kuyapa kipaumbele mambo ya hovyo.
 
Mtu yeyote tuu anaweza kuwa empty set au akawa na Akili Mkuu
 
Kama unachangamsha genge sawa.
Ila huko ulaya wameuana sana mpaka kuwamaliza wajinga kama wewe na bado waki kuhisi ni mjinga mjinga kama wewe wanakuua mapema sana.
 
Kama akili ni kuhonga na kuhongwa basi tuna safari ndefu sana kama Taifa.

Ila hiyo haishangazi maana watanzania asili yetu ni kuyapa kipaumbele mambo ya hovyo.

Wewe unataka kwenye Siasa wawepo Watu Empty Set Akili Kisheti?
 
Kama akili ni kuhonga na kuhongwa basi tuna safari ndefu sana kama Taifa.

Ila hiyo haishangazi maana watanzania asili yetu ni kuyapa kipaumbele mambo ya hovyo.

Timu magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…