Siasa ni akili, kama kichwa chako ni kitupu utaishia kuua wenzako tu

Aliyekuambia Huko Ulaya hakuna wenye Akili kisoda ni Nani?
Kama hujawahi kukaa na Wazungu tuulize tulioishi nao.
Wapo wazungu umewazidi mpaka wewe Akili
Labda wazungu wa lubada.
Shukuru Tanzania wajinga mnapewa nafasi ya kuzaliana huko ulaya waliwapunguza kwa kiwango kikubwa
Ujanja kujisifu kuwahonga wapinzani!? pathetic
 
Labda wazungu wa lubada.
Shukuru Tanzania wajinga mnapewa nafasi ya kuzaliana huko ulaya waliwapunguza kwa kiwango kikubwa
Ujanja kujisifu kuwahonga wapinzani!? pathetic

Mzungu ni Mzungu
Kama ilivyo Kwa muafrika.
Awe Ulaya awe wapi, Mzungu ni Mzungu.

Ni mjinga kama wewe unayefikiri Kwa namna hiyo
 
Mzungu ni Mzungu
Kama ilivyo Kwa muafrika.
Awe Ulaya awe wapi, Mzungu ni Mzungu.

Ni mjinga kama wewe unayefikiri Kwa namna hiyo
Sio kila mmoja lazima ajue ujinga wako wewe juha, ulaya wamefanya kazi kubwa kuwapunguza wapumbavu kama wewe kwa kuwaua.
Tanzania tukiendelea kubaki na wajinga kama wewe wanaojisifia na kuona fahari kuwa wajinga na wapumbavu kama wewe itabidi tusubiri dunia iumbwe upya.🇩
Huyo unayemtaja kwa mafumbo amekuzidi kila kitu akili zako labda ziko sawa na unaye msifia
 
Nenda kwenye neno lenyewe Alafu kaangalie linaandikwaje alafu linatamkwaje ndio uje hapa useme,
Hata hao wanaweza kukosea,
Hilo gazeti linapitiwa na jopo la wahariri wa lugha ya Kiswahili then ndio linakuwa released Tanzania nzima.

Wewe unaandika thread mwenyewe na kuipitia na kuirekebisha mwenyewe then ndio unaidrop hapa JF.

Leta facts ni sehemu gani wameandika "Faulu"?
 

Huna unachojua kuhusu Ulaya, hivyo Chochote utakachoongea kitahesabika kama kujifurahisha.

Wajinga nimeshasema wanapigwa pin fuatilie Watawala wajinga walichofanywa huko Ulaya,
Katika Ujio wa demokrasi Huko Ulaya
 
Huna unachojua kuhusu Ulaya, hivyo Chochote utakachoongea kitahesabika kama kujifurahisha.

Wajinga nimeshasema wanapigwa pin fuatilie Watawala wajinga walichofanywa huko Ulaya,
Katika Ujio wa demokrasi Huko Ulaya
Wewe mjinga ulipaswa uuliwe mapema huwezi ukawa na akili timamu ukaona fahari kusifia ujinga na upumbavu
 

Mimi nimeshaandika pia Huko kwenye magazeti, naelewa nikisemacho,
Sio kila neno mhariri anaweza kuliona.
Mwandishi anaweza mpa Makala mhariri ili aihariri asione Makosa yote.

Ndio maana nikakuambia, tuje kwenye Lugha
Neno Hilo linatamkwaje, linaandikwaje na linasikikaje Kiswahili na kingereza?
 
Ni kwel mkuu

Lakin yule jamaa pia inawezekana ni malezi mabaya aliyopata kutoka kwa wazazi wake,yaan alikuwa hajui kusikiliza mawazo ya wengine yeye kila kitu yupo sahih

Lakin pia kwao kuna tatzo la ugonjwa wa akili,kwahyo tulitawaliwa na mtu mwenye vina vya uwendawazimu
 

Taikon umegusa legacy maana jamaa alishindwa kabisa siasa sababu ni kwamba hakuwahi kuwa hata na cheo chochote ndani ya chama chao ,hahaaa ila nimeangalia mara mbili mbili ku confirm kwamba ni real taikon aliyeandika au ni Taikonrapa maana nishazoea thread za taikon ni kuanzia page 4 leo naona umeandika nusu page tu.
 
Unamchukia kweli kweli, sijuhi alikufanyia nini.
 
Ushaambiwa Hasira hukaa vifuani mwa wapumbavu.
Uliwahi kuona MTU anahasira za hovyohovyo akawa anaakili?
Emotional intelligence sifuri, zero tolerance,
Alafu upewe uongoze nchi, unataka kutuongoza kama wake zako ama au Watoto wako?
Hata wake na watoto huongozwa kwa akili, urashi na upendo.

Sema alitaka kutuongoza kama ng'ombe.
 
Kama uliandika basi uliandika kimakosa.
Maana halisi ya neno "Foul" ni "Faulo".

Fact nyingine, na hii ni swahili to English Dictionary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…