Siasa ni akili, kama kichwa chako ni kitupu utaishia kuua wenzako tu

Eeeh kweli kabisa, huku wataalam wanakamua jikoni. Siasa ni akili, akili mingi sana. Ukiiweza siasa angle zote wewe ni bingwa, ila kama unaweza kucheza mchezo w siasa then kwa uchumi unaachia watu wanajilia jikoni, dining hadi bedrooms wewe ni kiazi mbatata tu.
 
Wapo Vijana nawaona wanatabia hizo Pia.

Kuna kiongozi Fulani nilimuona anakagua sijui shule gani kule Mwanza, Kwa kweli nilishangaa sana, ni mwanamama, yaani wao wanajua kufokafoka ndio uongozi
Unafikiri wa hovyo anakuwa mmoja? Wapo wengi, ila anayefanya makosa ni yule anayewapa nafasi watu wa namna hiyo kuwa viongozi. Hao walistahili kuishia huko kwenye ng'ombe na punda tu. Wakipabda sana, wawe mameneja wa cattle farms.
 
Sera ya nchi iwe kuwauua wajinga kama wewe nchi itaendelea marafufu

Sera ya nchi ni kuwapa Elimu wajinga ili wawe na Elimu.
Unaona tofauti ya empty set Akili kisoda na MTU mwerevu.
Empty set mnawaza kuua Kwa ishu isiyohitaji Kutumia nguvuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Why mnatumia nguvu rasilimali na muda mwingi kujishindanisha na mmarehem?
Kila pvu ni shule.

Hata uongozi wa yule mtu una faida kwa Taifa. Watanzania wamekumbushwa kuwa kuna haja ya kuwa na mifumo thabiti ya kuzuia watu wasiofaa kuwa viongozi kupewa uongozi.
 
Unafikiri wa hovyo anakuwa mmoja? Wapo wengi, ila anayefanya makosa ni yule anayewapa nafasi watu wa namna hiyo kuwa viongozi. Hao walistahili kuishia huko kwenye ng'ombe na punda tu. Wakipabda sana, wawe mameneja wa cattle farms.

Wapo wengi Mno.
Kuna mmoja hapo Empty set anasema Dawa ya MTU mjinga ni kumuua badala ya kujenga shule, kuweka miundombinu ya Elimu mizuri, kisha kuwapa elimu
 
Sera ya nchi ni kuwapa Elimu wajinga ili wawe na Elimu.
Unaona tofauti ya empty set Akili kisoda na MTU mwerevu.
Empty set mnawaza kuua Kwa ishu isiyohitaji Kutumia nguvuπŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe ushafikia ujinga ulio kubuhu wa kuona fahari kuwa mjinga yaani mpumbavu dawa ni kuwaua tu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tatizo kuna watu wenye vichwa vitupu ila majasiri sana na hao hufika mbali sana pia kwenye siasa.
 
Yule mtu wa kina Extrovert and co kaguswa hapa 😁😁😁😁
 
Inategemea hiyo hoja unaijenga wakati gani. Kama kwa siasa za kupeana vibuyu vya asali hapo hutogusa mtu. Ila siasa za kujenga nchi lazima ufyatue watu. Ndio utajenga nchi kikweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…