Kumbe ndo maana mayala & group walifululiza na tungo za tumsifuSasa watazidisha wameskia mama yao anapita jf, inabidi awape hate teuzi za kusafisha maliwato hapo Lumba yatakufa kwa kupost kila sekunde thread
Hawa vijana watafia kwenye keyboard wapewe hata teuzi ya kucheza, kuchekesha na kuwabadilishia nepi wajukuu wa hangayaKumbe ndo maana mayala & group walifululiza na tungo za tumsifu
Inategemea hiyo hoja unaijenga wakati gani. Kama kwa siasa za kupeana vibuyu vya asali hapo hutogusa mtu. Ila siasa za kujenga nchi lazima ufyatue watu. Ndio utajenga nchi kikweli kweli.
Weka lamination hiiKikawaida nguvu zinaeleweka haraka kuliko Akili.
Ndio maana sio kila MTU anaijua hesabu Kwa sababu hesabu zinahitaji Akili.
Watu wanaotumia Akili hawaeleweki kirahisi kuliko wale wanaotumia nguvu
Ila ukitumia nguvu kila MTU atakuelewa Kwa muda mfupi
Weka lamination hii
Leo unamgeuka Magufuli?
Nadhan uyo ni dictator JPM the devil uyoUnamzungumzia Mwendazake bila shaka
Yupo motoni moja kwa mojaNadhan uyo ni dictator JPM the devil uyo
Kuwa marehemu sio excuse 😁😁Why mnatumia nguvu rasilimali na muda mwingi kujishindanisha na mmarehem?