Siasa ni akili sana. Akina bashiru, polepole, palamagamba nk wamemtumia mpina kuushale utawala wa Samia mwishowe kapotea mazima.

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Mi huwa naamini kwamba kila mwenye degree basi ana akili sana ya utambuzi. Hii ni kinyume na mpina. Alifikiri zile ngonjera za kutukana na kukosoa na kushangiliwa na laymen wasiojua lolote bali kufurahi mtu anapotumbuliwa ili afanane na wao.

Mama aligundua hilo akaamua kufanya divide and rule sasa sukuma gang kwishney na limesambaratika kabisa. Kaqchwa mpina apotee mwenyewe kwa lugha nyinginge he has committed suicide.
 
Hao hao laymen ndo wapiga kura. Zaidi nao ni wananchi.
Leteni majibu ya hoja za Mpina
 
Back
Top Bottom