AmeshaishaLakini Mpina anapendwa na jamii balaa
Kama mnampenda mpeni dada zenuLakini Mpina anapendwa na jamii balaa
Umeisha wewe na familia ako lakini watanzania tunamkubali snAmeshaisha
UWT huwa mnawaza ngono pekee, amekwambia hana mke?Kama mnampenda mpeni dada zenu
Hao hao laymen ndo wapiga kura. Zaidi nao ni wananchi.Mi huwa naamini kwamba kila mwenye degree basi ana akili sana ya utambuzi. Hii ni kinyume na mpina. Alifikiri zile ngonjera za kutukana na kukosoa na kushangiliwa na laymen wasiojua lolote bali kufurahi mtu anapotumbuliwa ili afanane na wao.
Mama aligundua hilo akaamua kufanya divide and rule sasa sukuma gang kwishney na limesambaratika kabisa. Kaqchwa mpina apotee mwenyewe kwa lugha nyinginge he has committed suicide.
Vipi tukitaka kumpa “wewe” unaonaje ,si itapendeza?Kama mnampenda mpeni dada zenu
mi sina dada wala kaka, nna shangazi yangu ambae ndio weweVipi tukitaka kumpa “wewe” unaonaje ,si itapendeza?