Siasa ni dude kubwa linaloisumbua Tanzania, Afrika kwa ujumla.

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Siasa ni utamaduni wa kiutawala ambao kawaida jamii imekubaliana kutumia namna au njia fulani kujiongoza/kujitawala ,Mfumo wa demokrasia ni moja wapo ya njia ambazo jamii za kiafrika zimelazimishwa kuzitumia katika kujitawala.

Utamaduni huu umekuwa kaa la moto kwa viongozi wa kiserikali kwani kunamuda hutumia nguvu kulinda maslahi yao,inapotokea watua au kikundi cha watu wakaikumbusha taasisi husika kusimamia misingi iliyoikubali kuitumia kuongoza serikali vyombo vya usalama hugeuka mwiba kwa mtu au taasisi inayokea maovu ya serikali.

ATHARI ZA VIONGOZI KUTOTHAMINI SIASA/UTAMADUNI.

Ikiwa tumekubaliana kuweka sheria kutumika kupima mienendo na tabia za watu au taasisi lakini sheria hizo zimekuwa butu kwa upande mmoja ni yapi madhara yake?

Kwanza tusahau kuhusu maendeleo,hakuna jamii bila ya kuwepo masikilizano jamii inapotoka.

Mabavu husababisha uwasi dhidi ya dola,ikumbukwe kuwa vyama vinaongozwa na watu kwa ajili ya watu na kila mtu ana interest zake inapotokea hutaki kufata misingi kisheria lazima maji yafatafute njia nyengine ya kupita(rovolutional tatctics).

Kudorola kwa uchumi wa nchi,nakumbuka wakati nasoma o level kuna mbinu ilitumiwa na waafrika dhidi ya ukoloni(passive resistence) njia hii pia hutumiwa na wapinzani kwa lengo la kuweka shinikizo kwa uongozi dhidi ya matakwa yao.

Kuvujishwa kwa siri za kiutawala n.k

Hakuna nchi ya afrika itakayojinasibu kuwa imepiga maendeleo sababu ni kwamba viongozi wetuwama kwenye kulinda dola dhidi ya wananchi wake na siyo kusimamia ukuwaji wa dola dhidi ya uchumi,utamaduni,teknolojia na siasa kwa ujumla wake.

IKIWA TUMESHINDWA HAINA BUDI KUINUA MIKONO SISI SOTE NI BINADAMU,HAKUNA MTU WALA CHAMA KILICHOZALIWA KUONGOZA AU KUMILIKI NCHI.
 
Sahihi.
 
Back
Top Bottom