Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kuelekea uchaguzi Mkuu Mama ameubutua sana hadi umechana nyavu.
Waliosema siasa ni sayansi hawakukosea. Leo Wale walioitwa sukuma gang ni shangwe tele. Wamefurahi balaa. Furaha in Vain (bure tupu)
Wamesahau hiki ni kipindi cha uchaguzi wanapewa temporary pleasure ili mwanaharamu apite.
Nawashangaa mnachofurahia ni nini. What if baada ya Uchaguzi wakapewa mashavu makubwa zaidi like Makamba akawa Makamu wa Rais na Nape akawa Waziri Mkuu? Are you going to run away the country?
Jambo lingine nawaasa watanzania acheni kushabikia mambo yasiyowahusu. Hizi teuzi na tenguzi ni kwa manufaa yao wenyewe watawala.
Mimi na wewe na familia yako hakuna tunachonufaika iwe ametubuliwa au kateuliwa.
Nimeamua tu niwasanue msioweza kuwaza nje ya box.