Siasa ni Sayansi, hatimaye Rais Samia ameiteka mioyo ya Wafuasi wa Hayati Magufuli

Mpumbavu ni wewe unayeshindwa kuonwsha iumefaidika vipi Nape akiondewa badala uchukiw ufisadi wa hao wanaoteuana na kutenguana unakaza fuvu kumchukia mtu usiyemjua
kauli ya nape ni udhalilishaji na kejeli kwa rais na tume ya uchaguzi.
 
Kuelekea uchaguzi Mkuu Mama ameubutua sana hadi umechana nyavu.

Waliosema siasa ni sayansi hawakukosea. Leo Wale walioitwa sukuma gang ni shangwe tele. Wamefurahi balaa. Furaha in Vain (bure tupu)

Wamesahau hiki ni kipindi cha uchaguzi wanapewa temporary pleasure ili mwanaharamu apite.

Nawashangaa mnachofurahia ni nini. What if baada ya Uchaguzi wakapewa mashavu makubwa zaidi like Makamba akawa Makamu wa Rais na Nape akawa Waziri Mkuu? Are you going to run away the country?

Jambo lingine nawaasa watanzania acheni kushabikia mambo yasiyowahusu. Hizi teuzi na tenguzi ni kwa manufaa yao wenyewe watawala.

Mimi na wewe na familia yako hakuna tunachonufaika iwe ametubuliwa au kateuliwa.

Nimeamua tu niwasanue msioweza kuwaza nje ya box.
Nan apewe u PM au Makamu? Nape? Makamba? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Hoja hapa ni Makamba Jr. na Nape wako nje kama alivyowafanya Mwamba Magufuli!
 
Mama ameanza kutujua, akitumbua sisi wengine tunafurahi tu na Stress zetu akiteua tunakasirika.

Sisi tunaitwa WABONGO.
 
Kwani Mwamba Magufuli si ndiye aliwaingiza? Na alopowatoa mimi na wewe tulinufaikaje? Na Mama alipowaingiz wewe ulipata hasara gani?

We need system reform yenye maslahi mapana kwa Taifa and not this individualized Grudges
 
Mama ameanza kutujua, akitumbua sisi wengine tunafurahi tu na Stress zetu akiteua tunakasirika.

Sisi tunaitwa WABONGO.
Wabongo Wameshachoka......wanafurahishwa na upepo huku mambo ya maana wakiyapa kisogo.
 
Kuelekea uchaguzi Mkuu Mama ameubutua sana hadi umechana nyavu.

Waliosema siasa ni sayansi hawakukosea. Leo Wale walioitwa sukuma gang ni shangwe tele. Wamefurahi balaa. Furaha in Vain (bure tupu)

Wamesahau hiki ni kipindi cha uchaguzi wanapewa temporary pleasure ili mwanaharamu apite.

Nawashangaa mnachofurahia ni nini. What if baada ya Uchaguzi wakapewa mashavu makubwa zaidi like Makamba akawa Makamu wa Rais na Nape akawa Waziri Mkuu? Are you going to run away the country?

Jambo lingine nawaasa watanzania acheni kushabikia mambo yasiyowahusu. Hizi teuzi na tenguzi ni kwa manufaa yao wenyewe watawala.

Mimi na wewe na familia yako hakuna tunachonufaika iwe ametubuliwa au kateuliwa.

Nimeamua tu niwasanue msioweza kuwaza nje ya box.
Hayo ni ya kwako hayatuhusu. Issue hapa ni kwamba wametumbuliwa
 
Back
Top Bottom