Siasa ni Sayansi, hatimaye Rais Samia ameiteka mioyo ya Wafuasi wa Hayati Magufuli

Siasa ni Sayansi, hatimaye Rais Samia ameiteka mioyo ya Wafuasi wa Hayati Magufuli

Hivi kwa nini hawa wawili wanachukiwa sana kiasi hiki? Vijana kwa wazee. Vijana wa kampuni za simu leo walitamani waanze weekend kwa raha! Inasikitisha sana mtu kuchukiwa namna hii. Kama kuna sehemu wanakosea, wajirekebishe.
 
Ha

Hakuna walichokosea ambacho system nzima ya ccm haijafanya.

Ni wivu tu kwa kuwa ni watoto wa viongozi..
Umaskini kwenye jamii za Tanzania zinawafanya watu wachukie wenye nacho.
 
Kivipi,

1.Kwani mkataba wa Bandari umevunjwa?

2. Maasai wamerudishwa ngorongoro?

3. Wanyama hawasafirishwi tena nje?

4. Safari za nje zimesitishwa?

5. Dollar inapatikana mtaani kama zamani?
 
Kivipi,

1.Kwani mkataba wa Bandari umevunjwa?

2. Maasai wamerudishwa ngorongoro?

3. Wanyama hawasafirishwi tena nje?

4. Safari za nje zimesitishwa?

5. Dollar inapatikana mtaani kama zamani?
Haya ndio Mambo yunayopaswa kufurahi kama yakifanyiwa kazi na sio hizo bla bla
 
Back
Top Bottom