Siasa safi ndio mhimili Mkuu katika Taifa, kwa sababu hujenga umoja, mshikamano, amani, utulivu na uzalendo baina ya watu

Siasa safi ndio mhimili Mkuu katika Taifa, kwa sababu hujenga umoja, mshikamano, amani, utulivu na uzalendo baina ya watu

Paul Manjala

New Member
Joined
Aug 7, 2025
Posts
3
Reaction score
0
SIASA SAFI ndio mhimili mkuu katika Taifa kwa sababu siasa safi hujenga umoja, mshikamano, amani, usawa utulivu na uzalendo baina ya mtu na katika Taifa.

Taifa lisilokuwa na siasa safi ni taifa mfu ,,,,,, niwaombe ndugu zangu watanzania Tusimame imara katika kuhakikisha tunawatumikia watanzania wote.

Tusimame imara pamoja Tuijenge Tanzania yetu, Tanzania yenye baraka, Tanzania yenye neema, Tanzania yenye maendeleo, Tanzania ya watanzania.
 
Back
Top Bottom