Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Ni ngumu sana kutetea wananchi ambao utatekwa, utateswa, utapotea au utapigwa risasi wao hawatambui mchango wako wataendelea kupiga kelele nyuma ya keyboards na story za Simba na Yanga.
Anajitokeza mtu mzalendo anaibua ufisadi na kufanya maendeleo kesho anaamka mtu anakwambia mtu yule alikuwa mbaya ,au huyu mbaya, watu wengi wanaafiki.
Nchi ambayo watu wakioneshwa pesa tu wako radhi kusifia na kufanya mambo ya ajabu haijarishi hata yatagharimu maisha ya watanzania au ndugu zake.
Hii ndio Tanzania ambayo ina hitaji mabadiliko ya kifikra kuliko nchi yoyote ile watu wathamini mali zao na za nchi, kuwe na utu, uwajibikaji na watu tudai Katiba Mpya.