Siasa ya Mafuta na Gesi: Kuibadili gesi asilia kuwa mafuta ya petroli inaweza punguza gharama tunazotumia kuagiza mafuta hayo kutoka mataifa ya nje

Gari za umeme zinakuja, tatizo lililopo kwenye gari za umeme ni ENERGY STORAGE DENSITY. Energy storage ya Kilogram moja au lita moja ya petroli ni mara mia moja (100) ya energy storage ya lithium ion bettery ambazo zinatumika kwenye hayo magari ya umeme. Hiyo inamaana kwamba hizo gari kwasasa ufanisi wake hauwezi kufikia gari zinazotumia fossil fuel.

Hivyo bado ndugu utafiti unaendelea.
 
Mbona hili mzalendo Jiwe hakuliona mkuu maama tunaambiwa alikuwa na uwezo wa kinabii
Mnafikiri hakuona kwa kuwa alikaa kimya. Gesi yetu ameikuta imeshasainishwa mikataba mibovu kwa miaka kadhaa mbele na watu wanaendelea kufaidika wakati wana Mtwara hawana chochote.
 
Yaani inakaaje akilini gesi uchimbie Mtwara, umeme uzalishie Kinyerezi, kisa nini? Bado tunachekeana tu.
 
Ndio hivyo mkuu
Sasa petroli ikiingia kwenye engine si inageuzwa tena kuwa gase
ili iweze kutumika kuendesha Engine,.Sasa kuna umuhimu gani kubadili Gas kuwa Petrol?

Mi naona kama matumizi ya Gas kama fuel ni rahisi na ni direct kwa Magari kuliko kuigeuza kuwa petrol kisha petrol igeuzwe tena na Engine kuwa Gas!

Hebu niweke sawa kama uelewa wangu ni tofauti Dada Mtaalam.
 
Gari zijazo ni za umeme! Mi naona tungeanzidha assembly plant ya magari ya umeme nafikiri yako cheap kutengeneza kuliko yale ya combustion engine! Motor haina mbwembwe nyingi kama ma piston
Kumbe magari ya umeme ni rahisi kutengeneza and cheap in price? Sasa Tanzania watu wetu wa Private Sector wanasubiri mpaka Rais aagize??? tunalala muno!!!!
 
Kumbe magari ya umeme ni rahisi kutengeneza and cheap in price? Sasa Tanzania watu wetu wa Private Sector wanasubiri mpaka Rais aagize??? tunalala muno!!!!
Mi nafikiri process ya kutengeneza motor haina gharama sana kama ya kutengeneza ICE
 
Watafutwe wawekezaji Serikali ijitoe kwenye hizo Biashara.
Kama alivyotafuta kikwete akauza kila kitu mjomba Magu alipoingia akakuta gesi ilishafanyiwa biashara na mmiliki anataka faida akaona isiwe taabu akaanzisha bwawa la Nyerere ilikupata affordable power source tujifunze hapo.
 
Unazungumzia process kubwa hivo wakati ata tubu za tairi bado hatujawez tengeneza.. Wonders shall never end.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Pipa la mafuta ghafi ya petroli duniani limepanda kwa kiwango cha juu kabisa katika kipindi cha miaka 3 toka mwaka 2018 hadi kufikia $75 leo 2021 hii ikilinganishwa na $65 mwaka 2018. Inategemewa bei kuendelea kupanda hadi kufikia $85 kwa pipa.

Hii ni habari mbaya kwa uchumi wa mataifa maskini yanayojitahidi "kusimamisha chumi zao" na nzuri kwa mataifa yanayozalisha mafuta kwa wingi.Tutashuhudia kupanda kwa bei za vitu vingi kama bei katika soko la dunia itaendelea kuongeza. Tujiandae, tusije kuanza kulalama.

Sababu kubwa ya kupanda bei kwa kasi ni OPEC kushindwa kukubaliana kuongeza uzalishaji wa mafuta ghafi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…