Wanajanvi, nimekuwa nikipitia na kusoma mengi juu ya usalama wa nchi na afya za raia wake.
Naomba nifanye declaration of interest "Mimi ni muoga sana wa ugaidi"
Nianzie Napa, Car esalaamu inategemea maji ya Ruvu juu na Ruvu Chini. Ruvu juu ikuhudumu sehemu ndogo kulinganisha na ruvu chini.
Kwa wageni wa hayo maeneo, Ruvu juu iko barabarani kushoto unapokatisha Mto Ruvu kuingia Kibaha ukitokea Chalinze, Ruvu Chini iko Jirani na Bagamoyo, huu mtambo wa Ruvu Chini Unagawa maji yake Bagamoyo, Bunju, Mbezi Chini, Kinondoni, Karikaoo, na Possibly maeneo yote Nyeti kwa nchi yetu. Hoja zangu ni zipi?
1. Usalama na ulinzi wa hii mitambo ni wa kuhuzunisha ( basically hakuna ulinzi unaobeba umuhimu wa haya maeneo). Kwa Ruvu Chini nilipofika kwa mara ya kwanza nilidhni kuna hata walau kambi ya Jeshi katika eneo la mto na mtambo. Pale Ruvu Juu napo panaingilika kirahisi rhisi tu.
Katika hili tujifunze kwa Mwalimu. Tupia kambi za Jeshi
2. Usalama katika njia linamopita bomba kuu sio salama sana, njia zake ni chafu na lolote linaweza kufnyika.
3. Miundo mbinu ya Barabara kuelekea katika hiyo mitambo, hasa wa Ruvu Chini ( ambao ndio tegemeo la maji dar ni mibovu mno, mno)
Barabaraya Bagamoyo Mlandizi haipitiki kirahisi katika nyakati zote za mvua. Nimekutana na Magari 5 yanayopeleka madawa na zananyinginekwaajili ya uzalishaji wa maji salama ymekwama. Madereva wenyewe wa hayo magari wanshanga inakuwaje ?
Tuatfakari, tuchukue hatua. Usalama wa watu M15 waukanda wa Dar unategemea maji haya