johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Tanzania kwa mfano CCM ni chama chenye misingi na mfumo mkongwe hivyo kuondoka kwake madarakani ni hadi kizazi cha akina Jr kipite waingie akina X Musk
Siasa za africa ni maigizo matupu ila uongozi wa Chadema wa sasa unataka kujitoa ufahamu na kujifanya wako serious
Nashauri Watanzania wajikite kujifunza yanayoendelea USA na China kwenye Trade War
Dunia ya siasa za akina Lucas na Mmawia imepitwa na wakati
Mlale unono 😁