Siasa za Africa mashariki zina maigizo mengi ila Tundu Lissu anazichukulia serious, ajifunze kwa Raila Odinga

Siasa za Africa mashariki zina maigizo mengi ila Tundu Lissu anazichukulia serious, ajifunze kwa Raila Odinga

Wanasiasa serious wanapigania mifumo safi isiyo na mawaaa kwenye uchaguzi ambayo itahakikisha Wananchi wanafanya chaguzi huru na za haki zinazowapa Viongozi wanaowajibika kweli kwao.

Kutokana na userioua huo hawawezi shiriki chaguzi za kitapeli na watafanya lolote liwezekanalo kuzizuia.
Unaposema watafanya lolote liwezekanalo kuzizuia.
Lolote kisheria au lolote nje ya sheria au lolote ndani na nje ya sheria?Fafanua.
 
Tanzania kwa mfano CCM ni chama chenye misingi na mfumo mkongwe hivyo kuondoka kwake madarakani ni hadi kizazi cha akina Jr kipite waingie akina X Musk

Siasa za africa ni maigizo matupu ila uongozi wa Chadema wa sasa unataka kujitoa ufahamu na kujifanya wako serious

Nashauri Watanzania wajikite kujifunza yanayoendelea USA na China kwenye Trade War

Dunia ya siasa za akina Lucas na Mmawia imepitwa na wakati

Mlale unono 😁
Raila Odinga ni tycoon na opposition heavyweight, usimlinganishe na upcoming politician kama Tundu Lissu
 
Back
Top Bottom