Siasa za Africa mashariki zina maigizo mengi ila Tundu Lissu anazichukulia serious, ajifunze kwa Raila Odinga

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Tanzania kwa mfano CCM ni chama chenye misingi na mfumo mkongwe hivyo kuondoka kwake madarakani ni hadi kizazi cha akina Jr kipite waingie akina X Musk

Siasa za africa ni maigizo matupu ila uongozi wa Chadema wa sasa unataka kujitoa ufahamu na kujifanya wako serious

Nashauri Watanzania wajikite kujifunza yanayoendelea USA na China kwenye Trade War

Dunia ya siasa za akina Lucas na Mmawia imepitwa na wakati

Mlale unono 😁
 
Ni kweli na wanasiasa serious hawakimbii uchaguzi
Wanasiasa serious wanapigania mifumo safi isiyo na mawaaa kwenye uchaguzi ambayo itahakikisha Wananchi wanafanya chaguzi huru na za haki zinazowapa Viongozi wanaowajibika kweli kwao.

Kutokana na userioua huo hawawezi shiriki chaguzi za kitapeli na watafanya lolote liwezekanalo kuzizuia.
 
Tusimlaumu ni mgeni wafuasi ndi wamemuingiza chaka badala yeye kuwaingiza chaka kama afanyavyo odinga!
 
Dominica njema πŸ™πŸ™
 
Umetolewa kwenye chupa sasa. Karibu jamvin tena.
 
Nchi ya mfano ya Lissu ni Kenya....kila siku anaitaja Kenya.

Labda hafuatilii siasa za Kenya.....kila siku wananunuana na pesa za umma.
 
Siasa ni maigizo ndio sababu Elon Musk anashiriki vikao vya Baraza la mawaziri USA ilhali si mjumbe πŸ˜‚
Nmeona maigizo zaidi baada ya kumuona Dr slaa juzi kwenye mkutano sijui ni kikao CHADEMA.....dahhh yani kakaa kwa umakini kabisa na ile miwani yake.

πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Siasa sio kitu real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…