Siasa za Africa mashariki zina maigizo mengi ila Tundu Lissu anazichukulia serious, ajifunze kwa Raila Odinga

Hii takataka nayo eti inasubiri uteuzi
 
Sasa tutashindana nini kwenye biashara hakuna cha maan tunachozalisha
 
Ni kweli na wanasiasa serious hawakimbii uchaguzi
Magufuri mlimpinga hasa na alikuwa na ajenda yake m9ja hivi ambayo ingefanikiwa na akawepo nadhani ungekuja kushangilia ila ndiyo no more!.

Leo wanafanya kina JH na TAL, kwa nje mtu kama wewe huwezi na hujui lolote, hii unayosema kakimbia uchaguzi acha ibaki hivyo kwa mtizamo wako ila wanaoelewa wanapunga mikono.
 
Acha kuwa Rais hata udiwani mnauwana kisa ulaji
Siasa za nchi zenye watu masikini daima huwa haziendelei.

Ni wananchi tu ndio utawasikia wanalalamika kuwa na mitaro iliyoziba, watoto kukaa chini bila madawati,
Madawa hakuna na hata eti watu wanakatisha mto wanaliwa na Mamba

Haya ndio malalamiko ya nchi masikini na viongozi wanawaacha maisha yenu mlalamikie hayo tu

Sasa kuna watu wanawaza nao wagawane keki hiyo hapo ndio wanalimwa mapanga
 
Ño reform no election
Movement iliyokufa kabla ya kuanza - no li-form, ni erection…. And now no erection kabisaaaa

Movement for change is still thr best moto for children wa chakandumuz and was strategic and excellent

Rudini kwrnye basics mjue change ni zaidi ya boycott
 
Movement iliyokufa kabla ya kuanza

Movement for change is still thr best moto for children and was strategic and excellent

Rudini kwrnye basics mjue change ni zaidi ya boycott
😂
 
Bado una wenge Jo rudi ukalale
 
Welcome back. Ulipaswa utuambie kwanza ulikokuwa kabla maada yoyote
 
Yaani watu wachukulie mzahamzaha huo ni ujinga kabisa
Yaani unataka mtu akisema no amaanishe ni Yes humohumo? Hii sio akili ya mtu timamu na mwenye maadili bali mtu wa kuchumia tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…