TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Wakati wa kampeni mpaka uchaguzi nchini Tanzania wanasiasa wa upinzani walikuwa wanalia faulo za hapa na pale na ilifika mahali hata mitandao ya kijamii kupungua uwezo.
Haya hapo jirani kwa mzee anayetaka kuvunja rekodi kufika miaka 100 akiwa madarakani mu7 anafanya yake.
Huyu ni mgombea mpinzani ndg Kyagulanyi a.k.a Bobi Wine anasema.
"Four days to the election, the internet is already slowed down. Some services have already been disrupted. Most people cannot download our UVote App from Google play store. We're encouraging everyone to download VPN."
Kabla ya hili juzi Robert alionja joto ya jiwe alipokuwa kwenye press na media moja ya nje ya Uganda 👇.
Kuna msemo wa mzee mmoja hivi alipata kusema "Afrika bado inatakiwa kutawaliwa"