Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sio mimi nimelikuza bali ni ninyi ndio maana mliliandika sana kwenye magazeti yenu na rekodi ipo hadi leoMwanamme na mwanamke kupigana miti ni hali ya kawaida. Usiifanye iwe issue kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mimi nimelikuza bali ni ninyi ndio maana mliliandika sana kwenye magazeti yenu na rekodi ipo hadi leoMwanamme na mwanamke kupigana miti ni hali ya kawaida. Usiifanye iwe issue kubwa.
Huyu mama ni mgombea mwenza wa Baba Rails Omolo Odinga.
1. Ni mwanasheria kitaaluma.
2. Waziri wa muda mrefu
ILA
3. HAAMINI KAMA KUNA MUNGU WALA HAJAWAHI KUKANYAGA MSIKITINI WALA KANISANI.
4. YUPO SINGLE ANAENJOY HAJAWAHI KUOLEWA, HANA MTOTO WA KUWA NA MCHUMBA.
YAJAYO YANAFURAHISHA.
Mijitu michawi sanaNyie nawaogopa sana nyie, kuna bandiko nimeliona kule jukwaa la siasa mwaka wa 2016 kuna jamaa alisema kufikia 2023 mtakua na rais mwanamke, hii hapa How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite
I see!!!Ilipotokea Vurugu Kenya kwenye ule uchaguzi Kikwete alimtuma Mkapa kwenda kusuluhisha tukiwemo sie maafisa wa MFA enzi hizo. Huyu mama alimtukana mzee Mkapa matusi ya nguoni.
Huyu mama ni mgombea mwenza wa Baba Rails Omolo Odinga.
1. Ni mwanasheria kitaaluma.
2. Waziri wa muda mrefu
ILA
3. HAAMINI KAMA KUNA MUNGU WALA HAJAWAHI KUKANYAGA MSIKITINI WALA KANISANI.
4. YUPO SINGLE ANAENJOY HAJAWAHI KUOLEWA, HANA MTOTO WA KUWA NA MCHUMBA.
YAJAYO YANAFURAHISHA.
kwenye covid-19 Kuna aina hiyo-----Type hii ndo wenye dunia yao uwataka.
Iwe shoga au lesbian wanakupa uongozi.
Yeye na Odinga ndio washika mpini ,kwa mujibu wa siri za duniani.
Trump alipingana na ajenda za mashoga na corona.Wakampa one time president
Mama yake anamjua baba yake na hiyo inatosha!!Nadhani anakijana mmoja wakiume sema baba wa kijana ndio hajulikani