Siasa za chadema zimekaa ki laana laana sana

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Wafuasi wa chadema wanafanya mambo ambayo hata ambaye hakwenda shule hawezi kufanya ni siasa za kipumbavu na za hovyo kuwahi kutokea nchini zilifanywa na Hilda newton ambaye ni kiongozi wa chadema....huwezi kupata kura kwa kuwatukana na kuwadhalilisha wengine ni utahira tupu.

Nawashauri wafuasi wa chadema tumieni mitandao vizuri cyber crime act ya 2015 Bado ipo na inafanya KAZI acheni huo upuuzi wenu kama hamna hoja si lazima muongee au mpost upumbavu wenu
 
Wamefanya nini ? Kwamba CCM inayofanya Siasa za kuteka watu ndo wanafanya siasa nzuri hiwe Chadema au CCM ila kwasasa CCM ndo wanasiasa za ovyo sana
 
Wafuasi wa chadema wanafanya mambo ambayo hata ambaye hakwenda shule hawezi kufanya ni siasa za kipumbavu na za hovyo kuwahi kutokea nchini.

Nawashauri wafuasi wa chadema tumieni mitandao vizuri cyber crime act ya 2015 Bado ipo na inafanya KAZI acheni huo upuuzi wenu kama hamna hoja si lazima muonge au mpost upumbavu wenu
Mbona unafoka foka tu? Weka mada mezani madai yako ni nini?
 
Kuteka na kuuwa watu ndiyo siasa safi?
Nenda zako chawa wa kijani wewe.
 
Wafuasi wa chadema wanafanya mambo ambayo hata ambaye hakwenda shule hawezi kufanya ni siasa za kipumbavu na za hovyo kuwahi kutokea nchini zilifanywa na Hilda newton ambaye ni kiongozi wa chadema....huwezi kupata kura kwa kuwatukana na kuwadhalilisha wengine ni utahira tupu.

Nawashauri wafuasi wa chadema tumieni mitandao vizuri cyber crime act ya 2015 Bado ipo na inafanya KAZI acheni huo upuuzi wenu kama hamna hoja si lazima muonge au mpost upumbavu wenu
Ni vizuri kuweka rejea ya kilichosemwa.
Lakini pia jamii kubwa ya watanzania kwa sasa imewachoka chama cha mapinduzi kwa upumbavu wenu na dharau zenu nyingi.
Mmewadharau watanzania kwa miaka mingi, mwenyezi Mungu aendelee kuwamiminia vitasa vya mateso hata mwisho wa dahali. na mlaaniwe na kila mwenye akili.
 
Mkiteka watu mnasema wamewekwa unyumba na mshangazi, mkifumwa nyie kwenye huo unyumba mliowasingizia wenzenu mnatoa milio
 
Halafu upande wa pili wana siasa za kutekana, kuuana, kudhalilishana, nk nk nk. Je hizi ndizo siasa?
Siungi mkono anayofanya Hilda lakini kama umeamua kuongelea ubaya wa siasa za nchi hii basi gusia kila angle.
 
Wafuasi wa chadema wanafanya mambo ambayo hata ambaye hakwenda shule hawezi kufanya ni siasa za kipumbavu na za hovyo kuwahi kutokea nchini zilifanywa na Hilda newton ambaye ni kiongozi wa chadema....huwezi kupata kura kwa kuwatukana na kuwadhalilisha wengine ni utahira tupu.

Nawashauri wafuasi wa chadema tumieni mitandao vizuri cyber crime act ya 2015 Bado ipo na inafanya KAZI acheni huo upuuzi wenu kama hamna hoja si lazima muonge au mpost upumbavu wenu
One mouth too many people use it.
 
Inaonekana masharti ya kulipwa buku 7 hadi muiandike Chadema vibaya. Nyinyi ni wapuuzi sana.
 
Wafuasi wa chadema wanafanya mambo ambayo hata ambaye hakwenda shule hawezi kufanya ni siasa za kipumbavu na za hovyo kuwahi kutokea nchini zilifanywa na Hilda newton ambaye ni kiongozi wa chadema....huwezi kupata kura kwa kuwatukana na kuwadhalilisha wengine ni utahira tupu.

Nawashauri wafuasi wa chadema tumieni mitandao vizuri cyber crime act ya 2015 Bado ipo na inafanya KAZI acheni huo upuuzi wenu kama hamna hoja si lazima muonge au mpost upumbavu wenu
Siku zote muokota siso na makopo Huwa anaonekana mwehu ila akishatoboa ndo anaanza kueleweka. Wewe hapo una fikra za kimasikini na ki-kushindwa shindwa, YBWYB
 
Wafuasi wa chadema wanafanya mambo ambayo hata ambaye hakwenda shule hawezi kufanya ni siasa za kipumbavu na za hovyo kuwahi kutokea nchini zilifanywa na Hilda newton ambaye ni kiongozi wa chadema....huwezi kupata kura kwa kuwatukana na kuwadhalilisha wengine ni utahira tupu.

Nawashauri wafuasi wa chadema tumieni mitandao vizuri cyber crime act ya 2015 Bado ipo na inafanya KAZI acheni huo upuuzi wenu kama hamna hoja si lazima muonge au mpost upumbavu wenu
Inafanya kazi kwa chadema tu kwa ccm mhhh! wewe ni chizi na akili zako ni mbovu.huoni mabaya ya ccm ila ya chadema kwani hakuna vyama vingine nchini why only cdm hovyo kabisa
 
Wafuasi wa chadema wanafanya mambo ambayo hata ambaye hakwenda shule hawezi kufanya ni siasa za kipumbavu na za hovyo kuwahi kutokea nchini zilifanywa na Hilda newton ambaye ni kiongozi wa chadema....huwezi kupata kura kwa kuwatukana na kuwadhalilisha wengine ni utahira tupu.

Nawashauri wafuasi wa chadema tumieni mitandao vizuri cyber crime act ya 2015 Bado ipo na inafanya KAZI acheni huo upuuzi wenu kama hamna hoja si lazima muonge au mpost upumbavu wenu
Wewe ni zao la wapumbavu lililozalishwa na ccm. Ujinga, maradhi na umaskini vyote hivyo vimetengenezwa na ccm na wala si CHADEMA.
 
Back
Top Bottom