Siasa za chuki kwa Lissu kuwa Hai hazilisaidii Taifa

JF Member ili uone mchango wa Lissu ulitaka afanye nini ambacho kwa nafasi alizowahi kushika hajawahi kufanya!!??
Jamii ya Ikungi iko kwenye giza totoro yani.

Alishindwa nini kuanzisha hata scheme za umwagiliaji?. Maji Ikungi ni shida, bora Mtaturu kawasaidia wapate maji.

Umaarufu wa bure kabisa.
 
Jamii ya Ikungi iko kwenye giza totoro yani.

Alishindwa nini kuanzisha hata scheme za umwagiliaji?. Maji Ikungi ni shida, bora Mtatiro kawasaidia wapate maji.

Umaarufu wa bure kabisa.
Anaanzisha kwa pesa kutoka wapi hizo Scheme??

Mtaturu kawasaidia?? Kasaidiaje mtu ambaye ni mtumishi wao?

Utofauti wa Jimbo la Singida Mashariki na majimbo mengine ya Singida ukoje wakati wa Lissu?
 
Hayo niyale majitu yenye roho mbaya nayayofikiri hii nchi niyao peke yao.Kumbe yatakufa yataiacha.Jitu linamchukia binadamu mwenzake kwasababu zakijinga utafikiri lenyewe nilikamilifu.Yako majitu yanamdhihaki lissu kwa hali yake utafikiri yana cha maana kumbe majinga tu.Yatabaki na chuki zao uku lissu akiendelea na maisha.
 
Hii nimeipenda
 
Mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama
 
Bwana Kilewela naona siku hizi wewe nawe umeokoka. Nakumbuka kipindi wewe uko CCM kwenye uchaguzi wa mwaka 2000 wewe na kigenge chako mlikuwa mnatembea usiku mkiwa kwenye gari aina ya Mitsubishi Pajero mnaenda kung'oa bendera za chama pinzani kwenye nyumba za watu kule Iringa. Watu wakilalamika mlikuwa mnawatishia wasitoke nje huku baadhi yenu wakiwa wamepanda hadi juu ya bati wakitoa hizo bendera.

Ashukuriwe muumba kwamba malalamiko dhidi yenu yalivyofika ofisi pendwa, wakubwa wa CCM walikataza hatua zozote zisichukuliwe dhidi yenu. Kama unamkumbuka Mama Msola, alikuwa ni moja ya wagombea waliotaka sana mchukuliwe hatua kali kwa kile kitendo cha kijambazi. Mlichokifanya kipindi kile hakina utofauti wowote na Vandalism inayofanywa na CCM Ragtag vanguard UVCCM kipindi hiki.

Nafurahi kuona kwamba umekuwa mtu mwema siku hizi na kuachana na harakati za kijambazi kama zile......
 
Lissu apunguze kujiona anajua kila kitu na kuwaona wengine hawajui siasa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa sio uongo.
Siasa sio ghiliba.
Siasa sio unafiki.
Siasa sio utapeli.
Siasa ni maisha.

Kama unataka maisha yawe mazuri, basi usiwe muongo, usiwe mnafiki, usiwe tapeli, usiwe na ghiliba.

Kuna ghiliba na utapeli na kila aina ya uovu kwenye siasa za Tanzania (hasa kwenye hii kitu inaitwa maridhiano).

Kuyaongelea hayo hadharani hakumfanyi Lissu (au Mtanzania mwingine yeyote) kuonekana ni mjuaji.

Ukweli ndio utatuweka huru,kwa nini tufiche fiche mambo kama kweli tuna nia njema ya kujenga Tanzania iliyo bora kwa watu wote!!!???

Lissu endelea kusimamia ukweli.
 
Lissu ni mzalendo wa kweli, haweki mbele nasilahi binafsi mbele. Anaweka mbele maslahi mapana ya Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…