Kuna mwingine alijitangaza mapema yeye ni makamu wa Rais!!!Upande huo wa EAC wanacheza mduwara wa kisiasa, uongozi unazunguka kama mduwara wa njenje.
Hii ndiyo unaitwa political succession proper huko nchini Kenya, sasa hivi Uhuru Kenya ndiye Raisi wa Kenya wakati Makamu wake anaitwa W. Ruto, tayari Wakenya wameshajua ni nani atamrithi Uhuru Kenya 2022 ambaye ni Ruto na tayari pia wameshajua nani atamrithi W.Ruto 2032!
Huu ni ujinga ni bora CCM yetu inatafuta watu wenye uwezo wa kuongoza na siyo succession kama Kenya na mpaka sasa hivi hatujui nani atakuja baada ya Magufuli wetu kwani hata hivyo siyo muhimu kwetu muhimu ni sasa hivi na raisi aliyeko madarakani kama vile ambavyo hatukujua mpaka dakika ya mwisho nani angekuja baada ya Kikwete!
Danganyika haiwezi kuwa bora kwa vyovyote vile...meza piriton kalale ewe
Mliko toka !!!ujinga tu huu wote.....ccm ni kama kanu nahuko tulitoka kitambo
tulitoka kwa kanu yenye haikutupatia maendeleo yoyote.ilikuwa ina recycle ideas...hiyo ndo ccm mliyonayo saiiMliko toka !!!
Mpo wapi saaa
tulitoka kwa kanu yenye haikutupatia maendeleo yoyote.ilikuwa ina recycle ideas...hiyo ndo ccm mliyonayo saii
Wacha nikuache bwanatulitoka kwa kanu yenye haikutupatia maendeleo yoyote.ilikuwa ina recycle ideas...hiyo ndo ccm mliyonayo saii
hahaa....nimejua tu.lakini kiukweli ndugu jaribuni mtoe hiyo ccm.hivi haiwakinai kwani?Wacha nikuache bwana
tulitoka kwa kanu yenye haikutupatia maendeleo yoyote.ilikuwa ina recycle ideas...hiyo ndo ccm mliyonayo saii
Unako kwenda sikohahaa....nimejua tu.lakini kiukweli ndugu jaribuni mtoe hiyo ccm.hivi haiwakinai kwani?
Mmebadilisha KANU jina la Chama au mmebadilisha KANU na kuleta Chama kipya na watu wapya? Kwa maana Kenya hata kesho Raila akiondoka chama alicho leo hii na kwenda kuanzisha Chama kingine mtasema pia mmebadilisha chama!