Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Hii ndiyo unaitwa political succession proper huko nchini Kenya, sasa hivi Uhuru Kenya ndiye Raisi wa Kenya wakati Makamu wake anaitwa W. Ruto, tayari Wakenya wameshajua ni nani atamrithi Uhuru Kenya 2022 ambaye ni Ruto na tayari pia wameshajua nani atamrithi W.Ruto 2032!
Huu ni ujinga ni bora CCM yetu inatafuta watu wenye uwezo wa kuongoza na siyo succession kama Kenya na mpaka sasa hivi hatujui nani atakuja baada ya Magufuli wetu kwani hata hivyo siyo muhimu kwetu muhimu ni sasa hivi na raisi aliyeko madarakani kama vile ambavyo hatukujua mpaka dakika ya mwisho nani angekuja baada ya Kikwete!