Siasa za Kenya ni usanii mtupu, bora TZ yetu mara 10!

Mmebadilisha KANU jina la Chama au mmebadilisha KANU na kuleta Chama kipya na watu wapya? Kwa maana Kenya hata kesho Raila akiondoka chama alicho leo hii na kwenda kuanzisha Chama kingine mtasema pia mmebadilisha chama!
kanu imekufa bana
 
Wewe na hii CCM yako itakupa presha bure, nimekuona kwengine ukiponda siasa za Marekani, sasa umeibukia huku ukiponda za Kenya. Itabidi tukupuuze tu...
 
Hii ndiyo unaitwa political succession proper huko nchini Kenya, sasa hivi Uhuru Kenya ndiye Raisi wa Kenya wakati Makamu wake anaitwa W. Ruto, tayari Wakenya wameshajua ni nani atamrithi Uhuru Kenya 2022 ambaye ni Ruto na tayari pia wameshajua nani atamrithi W.Ruto 2032!
Huu ni ujinga ni bora CCM yetu inatafuta watu wenye uwezo wa kuongoza na siyo succession kama Kenya na mpaka sasa hivi hatujui nani atakuja baada ya Magufuli wetu kwani hata hivyo siyo muhimu kwetu muhimu ni sasa hivi na raisi aliyeko madarakani kama vile ambavyo hatukujua mpaka dakika ya mwisho nani angekuja baada ya Kikwete!
Hakuna tofauti Wao wanatuzidi wengi wanashinda kwa sababu ya ukabila ila huku kwetu wakati mwenye uamuzi wa kumchagua rais ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi tunapoteza muda na Fedha bora hizo fedha zingetumika kununulia madawa
 
Lets give credit..Tanzanian politics is way too mature to be compared to Kenyas...I envy you Tanzanians..

Envy them but live a day in their politics that's when you will appreciate your own.

Opposition politicians have been bared from holding any political rallies or gathering. They even get arrested for delivering aid to earthquake victims. so many stuffs that if they happened in Kenya we would experience total instability.

Tanzanians are not active and that's they can take anything and everything thrown at them.

In Kenya we have our own shortcomings, but I'd rather we go back to cruelty of Moi's time than live through the kind of Tz politics.

Kenya tukipunguza ukabila tutaongoza Africa kwa kila kitu.
 
Hii ndiyo unaitwa political succession proper huko nchini Kenya, sasa hivi Uhuru Kenya ndiye Raisi wa Kenya wakati Makamu wake anaitwa W. Ruto, tayari Wakenya wameshajua ni nani atamrithi Uhuru Kenya 2022 ambaye ni Ruto na tayari pia wameshajua nani atamrithi W.Ruto 2032!
Huu ni ujinga ni bora CCM yetu inatafuta watu wenye uwezo wa kuongoza na siyo succession kama Kenya na mpaka sasa hivi hatujui nani atakuja baada ya Magufuli wetu kwani hata hivyo siyo muhimu kwetu muhimu ni sasa hivi na raisi aliyeko madarakani kama vile ambavyo hatukujua mpaka dakika ya mwisho nani angekuja baada ya Kikwete!

Nadhani pia hiyo ulioita "Political Succession" iko kila mahali. Niongezee: "The Culture of Succession Politics." Tunaiona huko Marekani nao wana aina yake inaendelea hata sasa; sisi hapa tunayo ya kwetu ambayo sawa kabisa kuiita ni nzuri kama ulivyofanya. Naamini hata hapa Tanzania viongozi wanaomaliza muda wao hupenda mtu fulani angerithi kiti cha Urais. Shida ni kwamba yeye peke yake hawezi kumweka katika kinyangiro kinachohusika. Mwalimu inasemekana alikuwa na chaguo lake; Mzee Mkapa naye alikuwa na lake na hata Ndugu yetu Kikwete naye alikuwa na chaguo lake. Ni mfumo wetu ndio unaofanya kuwa ngumu sana kwa kiongozi aliyepo kumpitisha yule anayempenda amrithi.

Kenya kwa upande wao mtu huupata Urais kwa mafungamano ya wapiga Kura ama kikanda ama kimakabila. Utasikia juu ya kura za GEMA (Gikuyu, Embu, Meru Association); ama za Miji Kenda yaani makabila yale 9 ya Pwani ama za Masai na Wakamba namna hiyo. Mapatano hufanyika toka mwanzo: "Mtuunge Mkono nasi tutawaunga mkono baada ya miaka 10 ama 8", namna hiyo.

Kwa hiyo makabila kama Kalenjin yalifungmana na Gikuyu na huenda GEMA yote na Kenyatta akapita na Ruto akijua wazi Unaibu Rais ni wake. Musalia alipomwacha Raila kipindi kilichopita alihamisha kura nyingi sana za WaLuhya na kuzipeleka kwingine. Kwa hiyo Kiongozi anayetaka Urais kule hutafuta mfungamano wa Kikabila, na hapo makubaliano ya muda mrefu hufanyika.

Kumekuwepo kutoridhika katika utaratibu huu kama pale Wajaluo walipojiunga na Kibaki kipindi kile na Raila akisikika akisema "Kibaki Tosha"; akitegemea kwamba Mzee akimaliza ni zamu ya Raila na Wajaluo. Bahati mbaya haikuwa hivyo.

Kwa hiyo ni utamaduni wa makundi ya kikabila kufungamana kutafuta kiongozi. Sijui uchaguzi ujao huko jirani watapanga mikakati ipi ya mafungamano ya kikanda, kimkoa na Kikabila kupata mrithi wa kiongozi aliyepo. Je Jubillee watakubali kuwachia W. Ruto kiti hicho yaani kuwaachia Wakalenjin? Mmoja aliandika akasema Kibaki alikuwa tayari kufikiria kumwandalia mazingira mazuri Raila achukue lakini wazee wa Kikuyu walimfuata na kumpa somo juu ya nia yake hiyo. Akaghairi.

Tusubiri tuone ikiwa ni sasa ama kipindi kijacho kile kingine ikiwa Mhe atamwachia Mkalenjin kama vile baba yake Mzee Kenyata alivyofanya hapo zamani akimkabidhi Mhe. Moi hatamu za nchi yao.
 
You hav written a looooooooong storo!!..

.
.

.
.
.

Sadly you have Nooooooo idea about Kenyan politics .....In kenya its money That matters not ur Tribe .....
 
I have lived in Kenya for 6 years continuously, was there during the hey days of Sabasaba movement. Even the monies you are talking about do not exchange multiple hands in your country they have a common stream. Even in churches, when a pastor is from this tribe most of the adherents shall be from that line as well. Its tribalism at the core and thereafter everything else follows - money, appointments, opportunities, mention it!! Juakali and MK 254 are trying to be honest!!!
 
Sawa mimi nimekuwa kenya yoka early 80s but wewe ndiye wajua
 
Envy them but live a day in their politics that's when you will appreciate your own.

Opposition politicians have been bared from holding any political rallies or gathering. They even get arrested for delivering aid to earthquake victims. so many stuffs that if they happened in Kenya we would experience total instability.

Tanzanians are not active and that's they can take anything and everything thrown at them.

In Kenya we have our own shortcomings, but I'd rather we go back to cruelty of Moi's time than live through the kind of Tz politics.

Kenya tukipunguza ukabila tutaongoza Africa kwa kila kitu.
Na yote uliyoyasema kuhusu opposition wa Tanzania, lakini hakuna aliyepotea bila kupatika, au alieokotwa pembeni ya Barbara ameshamalizwa. Wanasiasa wa Tanzania na familia zao wana uhakika wa maisha yao. Give me safety any time, politics comes and go.
 
Tanzania ni sawa na kulala na mbwa wako alaf unalialia una kupe na viroboto!
 
Na yote uliyoyasema kuhusu opposition wa Tanzania, lakini hakuna aliyepotea bila kupatika, au alieokotwa pembeni ya Barbara ameshamalizwa. Wanasiasa wa Tanzania na familia zao wana uhakika wa maisha yao. Give me safety any time, politics comes and go.

Ndio gharama tulizolipa ili tufike mahali tupo. Kawaida hata kwenu siku mtaamka na kujitambua lazima mtalipa gharama kama za kwetu.
 
Back
Top Bottom