Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Stanza Ni mwendo wa uchawa na uchawi. Mchana unasifiwa , unapigowa magoti, unapewa vyeo usivyostahili , unaitwa meheshimiwa wakati unajua kabisa wewe huna chembe ya uheshimiwa Hadi unahisi huendi chooni, jioni kwenye vikao vya Siri unaitwa kila jina baya. Wakuu wa wilaya waliotumbuliwa hili wanalielewa japo wamechelewa kuelewa.Kwani Tanzania hakuna hayo?
Siasa inataka Wasomi wa wastani kama akina Mbowe, Lukuvi, Jenister Mhagama nkMkuu chama kinao viongozi wanaotoa mamuzi ya chama ,embu fikiria cdm maauzi yanayotolewa na hawa viongozi walifeli elimu ya sekondari mfano ,Mzee Mbowe,Sugu,Lema na Wenje.Hawa ni vipngozi waandamizi 🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Pengine wana akili za kuzaliwa na ujanja wa maisha. Elimu ya SekondariMkuu chama kinao viongozi wanaotoa mamuzi ya chama ,embu fikiria cdm maauzi yanayotolewa na hawa viongozi walifeli elimu ya sekondari mfano ,Mzee Mbowe,Sugu,Lema na Wenje.Hawa ni vipngozi waandamizi 🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Mara nyingi Sana wasomi wabobezi hawawezi kusifu na kuabudu of course ukiondoa Kabugi.Siasa inataka Wasomi wa wastani kama akina Mbowe, Lukuvi, Jenister Mhagama nk
Wasomi Wabobezi kama Prof Kabudi, Prof Kitila, Prof Ndalichako Siasa hawaziwezi 😂
Uchawa na kujipendekeza kupita kiasi kuna haribu mambo sana.Stanza Ni mwendo wa uchawa na uchawi. Mchana unasifiwa , unapigowa magoti, unapewa vyeo usivyostahili , unaitwa meheshimiwa wakati unajua kabisa wewe huna chembe ya uheshimiwa Hadi unahisi huendi chooni, jioni kwenye vikao vya Siri unaitwa kila jina baya. Wakuu wa wilaya waliotumbuliwa hili wanalielewa japo wamechelewa kuelewa.
Ni kweli hawa wa wastani wana ujasiri na uthubutu zaidi. Wasomi wapoSiasa inataka Wasomi wa wastani kama akina Mbowe, Lukuvi, Jenister Mhagama nk
Wasomi Wabobezi kama Prof Kabudi, Prof Kitila, Prof Ndalichako Siasa hawaziwezi 😂
Mara nyingi wana angalia fact ipo wapi?Mara nyingi Sana wasomi wabobezi hawawezi kusifu na kuabudu of course ukiondoa Kabugi.
Ndugai alimchallenge kdg t boss wake wote ni mashahidi kwa kilichotokea 🤣Bora hizo watu wanapeana makavu na nchi yao ina songa ,huko hakuna uchawa si unaona makamu anamzingua rais wake na fresh . Sasa njoo Stanza uone chawa walivyojaa.
Hapana mkuu,huwezi kuwa na wanamikati bila ya uwepo wa Elimu ,mfano viongozi wa chama chochote cha siasa ni lazima wawe wameshiba elimu dunia ,sasa hawa wenzetu hao viongozi wao chama wengi wao hata hiyo elimu ya wastani hakuna.Siasa inataka Wasomi wa wastani kama akina Mbowe, Lukuvi, Jenister Mhagama nk
Wasomi Wabobezi kama Prof Kabudi, Prof Kitila, Prof Ndalichako Siasa hawaziwezi 😂
Mangi tuwe wakweli ,elimu dunia haina mmbadala ndio maana unaona chama kinakimbilia matukio badala ya kunadi sera mmbadala ,yote hii inayokana na viongozi husika kukosa mikakati sahihi na huwezi kuwa na mikakati sahii kama huna elimu dunia Mangi.Pengine wana akili za kuzaliwa na ujanja wa maisha. Elimu ya Sekondari
ya zamani sio ya sasa hivi ilikuwa konki.
Mfano halisi ni uchawa wa Lema kwa Mbowe.Uchawa na kujipendekeza kupita kiasi kuna haribu mambo sana.
Hata CCM wanasiasa wote mahili elimu zao ni za wastani tukianzia akina Kawawa, Mwinyi, Lukuvi, Nape, Mzee Makamba, Kibajaj, Msukuma, Wewe nk...nk 😀Hapana mkuu,huwezi kuwa na wanamikati bila ya uwepo wa Elimu ,mfano viongozi wa chama chochote cha siasa ni lazima wawe wameshiba elimu dunia ,sasa hawa wenzetu hao viongozi wao chama wengi wao hata hiyo elimu ya wastani hakuna.
Itachukua muda sana kutoka kichwani naona Ruto ameanzaWakikuyu bado wanaamini rais wa Kenya lazima atokane na wao.
Ni kweli kabisaHawataweza kamwe. Maana kufanya hivyo ni kumtia Ruto pia.
Ni kweli Mangi elimu dunia ni kitu muhimu sana mzee MandelaMangi tuwe wakweli ,elimu dunia haina mmbadala ndio maana unaona chama kinakimbilia matukio badala ya kunadi sera mmbadala ,yote hii inayokana na viongozi husika kukosa mikakati sahihi na huwezi kuwa na mikakati sahii kama huna elimu dunia Mangi.
Tuajaribu kutofautisha wapiga debe ambao mara nyingi ndio hao wenye elimu ya wastani na wanasiasa kwa ajili ya mikakati ,hawa wanamikakati ndio wanaojenga chama ,na wapige debe ndio wanaotangaza chama.Ni kweli hawa wa wastani wana ujasiri na uthubutu zaidi. Wasomi wapo
wachache wanao fanya vizuri.
Mkuu kuna tofauti kubwa hapa ,chama ni lazima kiwe na wanasiasa wapanga mikakati(strategists) ,wanasiasa ambao kazi yako kubwa ni uenezi ndio hao ambao hawaitaji kuwa na elimu kubwa kwa maana wanapokea maelezo ya nini kifanyike kwa maelekezo wa wanamikakati.Huwezi kuwa mwanamikatiti mzuri kama huna elimu dunia mkuu.Hata CCM wanasiasa wote mahili elimu zao ni za wastani tukianzia akina Kawawa, Mwinyi, Lukuvi, Nape, Mzee Makamba, Kibajaj, Msukuma, Wewe nk...nk 😀