Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi
Waswahili wana vijineno neno vyao, ukivisikia unaweza kuviona ni kama vineno vya Utani!.
Moja ya vineno hivyo ni "Penye Uzia Penyeza Rupia!" na "hakuna mkate mgumu mbele ya chai".
Siasa zetu ni siasa za kijungu jiko, yaani siasa za hand to mouth kwa kutegemea ruzuku!. Hizi ni siasa za kimasikini!.
Kwanza niliwahi kusema hivi kuhusu ruzuku kwa vyama vya siasa Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola!, Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla !., kisha nikashauri hivi Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi
Chadema waliposusa kuwa hawautambui uchaguzi, hawayatambui matokeo, hawalitambui Bunge na hawamtambui mshindi halali, niliwashauri huko ni kushupaza tuu shingo CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao
Leo nimepokea taarifa, hii kutokea twitwani
Kisha nikasoma na bandiko hili humu JF Tundu Lissu: CHADEMA tumeanza kupokea Ruzuku
Chadema wameufuata ushauri wa bandiko hili, waneacha ujinga wa kujifanya hawayatambui matokeo ya uchaguzi wa 2020!, sasa wameacha kushupaza shingo, wameyatambua matokeo kimya kimya!, wamewasamehe mashujaa hawa kimya kimya msamaha ambao utatangazwa rasmi siku ya Jumatano tarehe 8 Machi na Mwenyekiti wa Chadema, mbele ya Rais Samia!.
Iliwahi kusemwa kuwa hakuna mkate mgumu wowote mbele ya chai!, tayari Chadema imeisha anza kupokea ruzuku hivyo sasa ita survive!. Na ile kesi ya kina Halima Mdee na wale 19 iliyopo mahakamani itafutwa!.
Hongera sana Chadema, for doing the right thing!, mtabarikiwa, viongozi wenu watabarikiwa, chama chenu kitabarikiwa na Tanzania Itabarikiwa!.
Ila pia tukubali tukatae, hakuna mkate mgumu mbele na penye uzia, penyeza rupia!. Kwa umasikini huu na siasa hizi za utegemezi wa ruzuku, CCM itatawala milele!, unless otherwise!.
All the best, hili liishe maisha yaendelee
Mungu ibariki Chadema
Mungu ibariki CCM kwa kukubali reconciliation
Mungu ibariki Tanzania
Paskali